Falsafa ya CHADEMA ni hii, ya CCM iko wapi?

Falsafa ya CHADEMA ni hii, ya CCM iko wapi?

Harakati za CDM sana sana ni kuwabeba vijeba vya CDM ili waonekane wanafanya kaziakati ni pamoja na maandamano na migomo inayoshabikiwa sana a wapambe wa CDM.
Sioni jinsi unvyoweza kuendeleza nchi kwa kugoma.
Hata hivyo kwa info yako wewe unawezakuwa canon fodder wa kuwawezesha watu kupata ulaji tu bila kujijua.

Hey! Give me a break. Hivi nchi inaendelezwa kwa kuiba na kupora mali ya umma na kunenepesha ma-account uswis? Inaendelezwa kwa kwenda kusaini mikataba ya uchimbaji madini nnje ya nchi tena guest? Kwa kunyang'anya wananchi ardhi iliyoandaliwa miundombinu ya umwajiliaji na kuwapa mabepari huku wenyenchi wakifa kwa njaa? Ilhali tunayo mapori kibao yenye rutjba na hayajaendelezwa. Ama kweli imeandikwa kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Hey! Give me a break. Hivi nchi inaendelezwa kwa kuiba na kupora mali ya umma na kunenepesha ma-account uswis? Inaendelezwa kwa kwenda kusaini mikataba ya uchimbaji madini nnje ya nchi tena guest? Kwa kunyang'anya wananchi ardhi iliyoandaliwa miundombinu ya umwajiliaji na kuwapa mabepari huku wenyenchi wakifa kwa njaa? Ilhali tunayo mapori kibao yenye rutjba na hayajaendelezwa. Ama kweli imeandikwa kuwa watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa

Unajua kuna watu duniani wakiambiwa chazika wanakubali. Hebu waambie wao wanakimbiza mwenge nchi nzima, kweli zimo mu kichwa. Sisi tunaandamana kwa muda mfupi na kufanya mikutano yetu, hii ni njia ya kumobilise watu wetu na kutoa jumbe zetu. Zuzu hawezi kuelewa maana ya maandamano.

[h=3]Public demonstration or political rally[/h]

Demonstrators marching outside the2008 Republican National Convention inSaint Paul, Minnesota.​



Protesters outside the Oireachtas inDublin, Republic of Ireland.​

Some forms of direct action listed in this article are also public demonstrations or rallies.

  • Protest march, a historically and geographically common form of nonviolent action by groups of people.
  • Picketing, a form of protest in which people congregate outside a place of work or location where an event is taking place. Often, this is done in an attempt to dissuade others from going in ("crossing the picket line"), but it can also be done to draw public attention to a cause.
  • Street protesters, characteristically, work alone, gravitating towards areas of high foot traffic, and employing handmade placards such as sandwich boards or picket signs in order to maximize exposure and interaction with the public.
  • Lockdowns and lock-ons are a way to stop movement of an object, like a structure or tree and to thwart movement of actual protesters from the location. Users employ various chains, locks and even the sleeping dragon for impairment of those trying to remove them with a matrix of composted materials.
  • Die-ins are a form of protest where participants simulate being dead (with varying degrees of realism). In the simplest form of a die-in, protesters simply lie down on the ground and pretend to be dead, sometimes covering themselves with signs or banners. Much of the effectiveness depends on the posture of the protesters, for when not properly executed, the protest might look more like a "sleep-in". For added realism, simulated wounds are sometimes painted on the bodies, or (usually "bloody") bandages are used.
  • Protest song is a song which protests perceived problems in society. Every major movement in Western history has been accompanied by its own collection of protest songs, from slave emancipation to women's suffrage, the labor movement, civil rights, the anti-war movement, the feministmovement, the environmental movement. Over time, the songs have come to protest more abstract, moral issues, such as injustice, racial discrimination, the morality of war in general (as opposed to purely protesting individual wars), globalization, inflation, social inequalities, andincarceration.
  • Radical cheerleading. The idea is to ironically reappropriate the aesthetics of cheerleading, for example by changing the chants to promote feminismand left-wing causes. Many radical cheerleaders (some of whom are male, transgender or non-gender identified) are in appearance far from the stereotypical image of a cheerleader.
  • Critical Mass bike rides have been perceived as protest activities. A 2006 New Yorker magazine article described Critical Mass' activity in New York City as "monthly political-protest rides", and characterized Critical Mass as a part of a social movement;[SUP][4][/SUP] and the UK e-zine Urban75, which advertises as well as publishes photographs of the Critical Mass event in London, describes this as "the monthly protest by cyclists reclaiming the streets of London."[SUP][5][/SUP] However, Critical Mass participants have insisted that these events should be viewed as "celebrations" and spontaneous gatherings, and not as protests or organized demonstrations.[SUP][6][/SUP][SUP][7][/SUP] This stance allows Critical Mass to argue a legal position that its events can occur without advance notification of local police.[SUP][8][/SUP][SUP][9][/SUP]
  • Toyi-toyi is a Southern African dance originally from Zimbabwe that became famous for its use in political protests in the apartheid-era South Africa, seeProtest in South Africa.
 
Hawana Falsafa yoyote zaidi ya kuwaza matumbo yao,Tuungane kuikataa CCM na kuitokemeza katika ulimwengu wa siasa,walafi,wezi wa mali ya umma,wala rushwa,nashangaa
wanajilimbizia mali sijui wana matumbo mangapi au sijui wataishi milele?Umaskini tulionao umeletwa na MAGAMBA.
 
Mheshimimiwa Freddy Sanga,

Kwanza kabisa hongera na asante sana kwa uzi huu, ambao ni wa kipekee kabisa hapa JF.

Uzi huu umefanikiwa ktk mambo mengi lakini kubwa zaidi ni kuwa umetenga usiku na mchana ktk siasa za Tanzania. Kwa maana ya msingi wa falsafa, sera, dira, maono na uwezo ktk dhana nzima ya kushika dola na kuleta maendeleo.

Bila kuongeza chumvi, kupitia uzi huu imethihirika kuwa CCM ni wepesi sana, ni wapumbavu, ni watu wasio na maono wala uwezo wa kuiongoza Tanzania yetu; na ndio maana kama vile Mwenyekiti wao Jakaya Kikwete alivyosema Oktoba 2010 "...Nataka nijulikane kuwa niliitoa Tanzania hapa nikaifikisha hapa.....". Maana yake NOWHERE!

Hivyo basi kwa kuwa:-
- uzi wako huu una umri wa zaidi ya mwaka mmoja na nusu mpaka sasa;
- na kwa vile wana CCM hapa JF tena kwa wingi wao wameshindwa hata kudiriki kufikiria kutaja falsafa yao ni ipi,
- wao wako katika kuchumia tumbo zaidi ya kufikrisha bongo zao

Hitimisho:Uzi uwe sticky, tena kwa maandishi ya rangi ya dhahabu (ikiwezekana MODS).

Ili uzi huu uwe shule na mafundisho kwa kila mwenye kuitembelea JF kwa nia au lengo la kupanua elimu na ufahamu.
Pamoja na yote umenivunja mbavu kweli, Nakubali ipigwe stick.
 
Kuna jamaaa kaniambia SSM hawaoni umuhimu wa kuwa na falsafa, wao wanakwenda kwa stili ya liwalo na liwe.
 
Na hii ndiyo peoples power bwana, magamba wanaweza??????????????
 
Hongea Democrats, Naona Itikadi yenu kama ya CDM.

Philosophy and role in Government



A Democratic Party Donkey




Sometimes Democrats are called "the left", "liberals" or "progressives", even though not all Democrats are left-wing or liberal. Many Democrats, particularly in theSouth and Rocky Mountains of the United States, are conservative or moderate). In the United States, each of the political parties are large coalitions that cover many different kinds of ideology.
Generally Democrats support:

  • progressive income tax, increasing overall tax income
  • higher corporate taxes and recapturing income from overseas profits
  • expanding spending on government programs
  • spending on business, education, infrastructure, clean-energy
  • abortion (spending on reproductive issues)
  • stem-cell research
  • reducing the use of US troops in international affairs, downsizing the military
  • equal rights (without regard for race, creed, gender or sexual orientation) through Affirmative Action and Equal Employment Opportunity laws.
  • restrictions of weapons use through government oversight
  • Keynesian, and a mixed economy
  • universal healthcare
  • regulating business and the economy
  • freedom of religion

Hapa CCM hamna kitu cha kushangilia, maana hamjielewi
 
unapaswa kuwa umekufa au haujawahi kuishi Tanzania ndio uwe hauifahamu Falsa ya CCM, maana hata ukilitaja jina hili kwa kirefu utapata majibu.

CCM = Chukua Chako Mapema - au nimekosea

CCM = Chama Cha Majambazi
 
Naomba kuuliza swali moja tu, hivi hii imesomwa na wale wasomi waliopo kwenye pay roll yenu kama akina baregu na Kitilla? hivi hata maana ya falsa nayo mfundishwe?

Si afadhali hawa wameandika kitu? CCM je? Hata zero draft haipo!
 
Mwingine anaweza kukuona mbaya, hata unapojaibu kumsaidia. Nyerere aliwaambia "mnaondoa Azimio la Arusha na mambo yake yote, mnaweka nini badala yake", nadhani hawakumwelewa kabisa "kwamba wametema falsafa na wanahitaji mbadala". Aliwaambia chukueni mazuri muache mabaya, tena akawaambia ninyi mnachukua mabaya na kuacha mazuri. Kama wangetumia akili kidogo, kesho yake wangefanya retreat. Haya jamani CCM. Sasa loooo! wanaimba ujamaa.
 
Una maana hawana kabisa, duh:embarassed2:

Ujenzi wa ujamaa si lelemama bali ni mapambano, mapambano ya kudumu dhidi ya ubepari na unyonyaji, dhidi ya wapinga maendeleo na wababaishaji wa kisiasa, dhidi ya wahujumu uchumi, majambazi, wezi, wazururaji na wazembe. Msimamo sahihi wa mapambano unaotokana na nadharia sahihi ya ujamaa ungelituepusha na maamuzi na vitendo ambavyo vimerahisisha kuoteshwa kwa
mizizi ya ubepari, kinyume cha msimao wa mapambano dhidi ya ubepari. Leo ubepari, una vishawishi vingi zaidi nchini kuliko ulivyokuwa kabla ya Azimio la Arusha kwa sababu pamoja na kwamba sasa tuna sekta kubwa ya umma lakini kutokana na udhaifu wa kutopambana nao, ubepari umefaulu kujipanua na
kujipenyeza hata ndai ya sekta yenyewe ya Umma. Na ndiyo maana ubepari sasa unathubutu kujitokeza hadharani kuukashifu ujamaa, kubabaisha baadhi ya viongozi na kututaka tubadilishe siasa yetu.​


Hii inanichanganya saidia wana JF.
Niliondoka CCM kwa sababu ya huu uchwara.
 
Nilidhani kwamba angalau hili suala lingfanyiwa kazi DoDoma. Kwli CCM ni dhaifu.
 
Nimeamini kabisa CCM hawajui hata wafanye nini kwanza, ili waweze kufikia malengo. Masikio yameziba kabisa.
 
Mwiko mkuu wa uongozi:

CHADEMA tunaamini na kutambua kuwa “kuchaguliwa” kuunda utawala wa kuongoza nchi hakumaanishi wachaguliwa kujitwalia mamalaka ya UMMA na kisha kuyatumia mamlaka hayo kuwakandamiza “waliowachagua” kwa sababu tu ya kutetea maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma.

Nataka tuanze kuunyumbulisha huu mguzo mkuu.
 
Back
Top Bottom