Communist
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 5,400
- 1,186
Nduka haya ndio CCM inayosimamia? Umenasa katika mtego wa panya.Asante kwa kuufungua moyo wako sasa.
Nduka haya ndio CCM inayosimamia? Umenasa katika mtego wa panya.Asante kwa kuufungua moyo wako sasa.
Nakutakia usiku mwema na uanaharakati wako, achilia mbali kama unafahamu lolote juu ya falsafa ya CDM kama ipo.Sina akili za kitoto kama unavyofikiri, kabla ya kufanya jambo unatakiwa kufanya upembuzi yakinifu, sio kufuata mdundiko na kuacha mboga inaungua. Fikiria watoto wako na wajukuu wako, acha ubinafsi. Utalia uzeeni.
Pole sana, ndugu yangu, nakuonea huruma sana. Yaani ungekuwa unajua umuhimu wa kuupa umma nguvu juu ya dola tungeongea vizuri. Ila ubarikiwe usingizi mzuri. Mungu akuoteshe CDM imechukua nchi 2015, na nguvu utakazokuwa nazo kama sehemu ya umma.Nakutakia usiku mwema na uanaharakati wako, achilia mbali kama unafahamu lolote juu ya falsafa ya CDM kama ipo.
Ni usanii full kujiachia.
Yeye mwenyewe ndio amekuwa falsafa ya CCM. Hamna kitu hapo.Muwekee nape kiporo cha swali ilo( niñi falsafa ya ccm) atakupa bajibu mepesi kuwa ni liwalo na liwe....
Falsafa ya CHADEMA ni,CHADEMA kinaamini katika Nguvu ya Umma
Itikadi ya ni mrengo wa kati
tembelea Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Pole sana, ndugu yangu, nakuonea huruma sana. Yaani ungekuwa unajua umuhimu wa kuupa umma nguvu juu ya dola tungeongea vizuri. Ila ubarikiwe usingizi mzuri. Mungu akuoteshe CDM imechukua nchi 2015, na nguvu utakazokuwa nazo kama sehemu ya umma.
Mmm ccm hawana
Usijidanganye mkuu, come 2015 Ikulu hawaendi watu bali mtu mmoja tu.
Na ataingia huko baada ya kupigiwa kura na si baada ya maandamano na migomo.
Tumekuwa tukiwataka sera zenu mbadala za kiuchumi hasa ikitilia maanani mipango ya kuondoa umasikini , ujinga na kuendeleza afya- hakuna response.
Peoples power haiweki ugali mezani wala kukuletea dawa mahospitalini.
Lazima nikubali kuwa CDM hata hivyo ni mafundi wa kukosoa tu na si kutoa alternative solutions, kwa hilo nawapongeza.
Maandamano, migomo na chaos ambavyo ndio hallmark ya CDM si ingredient ya maendeleo.
Kwa mtaji huo wa kuonewa huruma ni ninyi msiojua mdundiko mnaoucheza kwa ajili ya wachache ndani ya CDM.
Kama nilivyosema, ma cannon fodder mko wengi.
Mkuu maoni haya ni kama kitwanga maji kwenye kinu,CDM hawasikii la muadhini wala shehe ili mradi vutugu xoxote zilizoanzishwa serikali ilaumiwe bila wao kuchukua dhamans yoyote kwa uharibifu wa mali na maisha.[/B][/COLOR]
How prophetic, hapo in red.
Hii niliandika KABLA hata ya fujo za Morogoro.
CHADEMA kumbukeni nchi hii ni ya waTanzania na si aidha wewe ni CDM au ni CCM.
Kwa habari za intelijesia toka Polisi huyo kijana Ally kauwawa for maximum effects ili watu wapate mahala kulaumu.
Mzee wa Miba unamchoma Nape vibaya.SISIEMU ni chama hatari sana sana kinapandikiza udini,ukabila na mauaji Tanzania,Chama hiki 2010 kilikataliwa sana mijini,lakini kwa sasa mpaka vijijini ndani ndani huko Maswa,Meatu,Bukombe,Ukerewe n.k.,wote wazee kwa vijana wamekikataa hawakitaki tena,hawataki hata kukisikia wanasema 2015 lazima wakichinjie baharini.