Falsafa ya CHADEMA ni hii, ya CCM iko wapi?

Mkuu usilete mazoea Movement for Change M4C ni Falsafa ambazo wafadhili kutoka nje ya nchi wanazitumia kwa Chadema, ukienda Zimbabwe kwa Morgan Tsinvagirai kuna MDC, ukienda Uganda kuna A42, ukienda Kenya kuna ODC Raila Odinga..

Wafadhili wa hivyo vyama hiyo ndio falsafa yao wanawatumia lakini nyie ambaye mnatumia hamjui chochote masikini mnatumiwa kama madodoki.
Ritz Mnaotumiwa kama madodoki ni nyinyi Mnaogawa hizi Rasilimali za hii nchi kwa vihongo vidogo vidogo halafu mkitolewa madarakani manafreeze vihela vyenu kama walivyomfanyia Gadaff na wanawe hizo hela za Uswisi zitarudi tuu
 
Sijaona tofauti yako na Nape!

Najua falsafa za CCm unazijua za kuchukua chako mapema na kukiweka uswis!
 
Nimeongea na kiongozi mmoja kutoka NGO moja nchini anafichua kwamba ili Chadema kionekane kweli machoni mwa mataifa hayo ya magharibi kwamba ni chama cha siasa chenye dhamira ya kuleta mabadiliko ya kiutawala nchini, wameamuaa kulitumia neno waliopewa na wafadhili wao Movement for Change (M4C) ili kujihalarishia uhalali wa kuendelea kufaidi mamilioni ya shilingi yaliyotengwa na mataifa hayo ya kikoloni ili yaweze kurejea kuzitawala kiuchumi nchi za kiafrika Tanzania ikiwemo.
 
Mkuu usilete mazoea Movement for Change M4C ni Falsafa ambazo wafadhili kutoka nje ya nchi wanazitumia kwa Chadema, ukienda Zimbabwe kwa Morgan Tsinvagirai kuna MDC, ukienda Uganda kuna A42, ukienda Kenya kuna ODC Raila Odinga..

Wafadhili wa hivyo vyama hiyo ndio falsafa yao wanawatumia lakini nyie ambaye mnatumia hamjui chochote masikini mnatumiwa kama madodoki.

523168_434517646598258_1181094145_n.jpg
 
Huwa husikii bajeti ya kambi rasmi ya upinzani? Kule wanaeleza kila kitu jinsi watavyotumia,kupata hela ili waondoe kero ambazo nyinyi mmezisababisha kwa miaka 50
 
Hebu tofautisha hizi.jembe na nyundo,ujamaa,tunachuku tunaweka uwaaa! ari mpya kasi mpya nguvu mpya,kasi zaidi,tumedhubutu tumeweza tunasongambele,vua gamba gwanda vaa uzalendo.NOTE.FALSAFA NI IMANI.ILI UIFIKIE IMANI UNATUMIA ITIKADI AMBAYO SAWA NA NJIA YA KUIFIKIA FALSAFA ULIYONAYO.
 
Najua hizi nchi za nje zinatucheka sana kwa kuwa na natural resources ila umaskini bado upo kama kawa na utaendelea kama tutaendelea kuwa hivi tulivyo we need to change
 
zitawacheka vipi wakati ndio wafadhili wenu wakubwa.
 
Nimeongea na kiongozi mmoja kutoka NGO moja nchini anafichua kwamba ili Chadema kionekane kweli machoni mwa mataifa hayo ya magharibi kwamba ni chama cha siasa chenye dhamira ya kuleta mabadiliko ya kiutawala nchini, wameamuaa kulitumia neno waliopewa na wafadhili wao Movement for Change (M4C) ili kujihalarishia uhalali wa kuendelea kufaidi mamilioni ya shilingi yaliyotengwa na mataifa hayo ya kikoloni ili yaweze kurejea kuzitawala kiuchumi nchi za kiafrika Tanzania ikiwemo.

Malipo ya post kama hii ni mshikaki wa kitimoto na tusker moja.
 
Hebu tofautisha hizi.jembe na nyundo,ujamaa,tunachuku tunaweka uwaaa! ari mpya kasi mpya nguvu mpya,kasi zaidi,tumedhubutu tumeweza tunasongambele,vua gamba gwanda vaa uzalendo.NOTE.FALSAFA NI IMANI.ILI UIFIKIE IMANI UNATUMIA ITIKADI AMBAYO SAWA NA NJIA YA KUIFIKIA FALSAFA ULIYONAYO.
Mkuu hii thread kakurupuka usingizini akaja nayo bila ya kufikiria upande wao leo hapati hata shilingi kutoka kwa mfadhili wao Nape
 
Mkuu Wangu.
Ni bora ujiandae kuhesabiwa tu, hakuna hoja ya msingi unayoweka hapa!
Kumbuka watakao hesabiwa Usiku ni wale wenye mahitaji maalumu, usifungulie mtu usiku usije pelekwa Mabwepande!

Nihasabiwe vipi wakati sensa tayari mmeishafanya muda mrefu..

Wakiristo 45% Waislam 35% Source Ofisi ya Waziri Mkuu.

Wakiristo 52% Waislam 32% Source TBC.

Wakiristo 45% Waislam 40% Source Bodi ya Utalii.

Wakiristo 44% Waislam 34% Source Tovuti ya Wakatoliki.
 
Umesahau kuweka source moja ambayo ni blog ya CUF na CCM
 
Sheikh vipi, umefunga na zile sita za nyongeza?

Inaonekana una kizunguzungu, subiri futari usome tena hii thread ndio utagundua utumbo uliouandika hapa. Operesheni sangara unaita falsafa!!
 
Aiseee babaangu nimekuwa nikiomba jinsia ya huyu m2 aliye anzisha huu uzi ili nimpatie jina lake

mgoja niningoje jinsia yake huku napata mbege
 
Sawa Ritz, kwa kutudhihirishia kuwa ukiwa ndani ya CCM hata kama una PhD au we ni professor, au kama ni mchumi daraja la kwanza, ili mradi tu ukiwa CCM uelewa wako unakuwa sawa na wa mtoto anaeanza vidudu.
 
Back
Top Bottom