Falling in love

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu nimejaribu kuusumbua ubongo wangu lakini sijapata jibu, nimeona niwashirikishe huenda mwisho wa siku jibu likapatikana, nauliza hivi:-

  • je mapenzi ni kitu kinachoibuka tu baada ya kumuona mtu wa opposite sex ambaye hukuwahi kumuona hapo kabla ?
  • je mapenzi baina ya me na ke yanajengwa kwa ku apply vitu flani baada ya kuwa pamoja na opposite sex for some time? If yes mention vitu gani hivyo ?
  • unatofautishaje baina ya kupenda na kutamani?
  • je kuna uwezekano ukampenda zaidi ya mtu mmoja of opposite sex ?
  • in a normal conversation with opposite sex ni alama gani zitakubainishia kuwa anakupenda?
  • wakuu fungukeni
 
Ni kupata ufahamamu tu, coz there are people with great knowledge humu jf
 
Its chemistry..., involving all of the senses, kwenye favourable conditions inafanya kazi..., tamaa pia hupelekea uwezekano wa mapenzi kutoa (ni kama catalist)
 
Sun wu, statement yako in some key issues ambazo zinahitaji kufafanuliwa mfano,chemistry,favourable conditions na involvement of all the senses, funguka mwana !!!
 
Sun wu, statement yako in some key issues ambazo zinahitaji kufafanuliwa mfano,chemistry,favourable conditions na involvement of all the senses, funguka mwana !!!

Mkuu ukipenda kuna feelings fulani unapata kama moyo kwenda mbio, au kujisikia furaha n.k. hiyo yote husababishwa na chemicals fulani kutolewa mwilini na hizi zinatolewa baada ya mtu kwenye akili yake kupendezeshwa na vitu fulani anavyoviona kwa mwingine sasa kumbuka ikiwa ni tamaa ni testestorene pekee ndio inayofanya kazi na mtu atakuwa ana hamu ya kufanya sex na huyo mtu ila love inakuwa zaidi sio tamaa ya sex pekee bali company n.k.

nimesema favourable conditions sababu kila mtu kuna vitu vinamvutia zaidi sasa kama akiviona kwa mtu mwingine basi hizi kemikali zitakuwa produced
kemikali inayokuwa released ni Dopamine ebu google hii for more information
 
Ok sun wu, ngoja kwanza ni google then ntarejea baadae.
 
jamani; i smell fomu wani B.

Basi mie nikiona hivi naogopa, nawatizama hawa wa hapa kwangu, ukute nao wana ID za jf? Mbona mnajikuza sana watoto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…