Fake selection 2012/13

Sometimes kujipa moyo ni jambo jema, wewe ungana na mimi kungojea selection.
 
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua

hata mm nliwaza hivohivo lakin kilichonishtua ni kwamba wamewezaje kupata personal informations kama phone number,email address,matokeo ya form 4 na6,physical impartment na postal address za watu wote wale????? jiulize....!!!!! huenda ni kweli¡¡¡¡¡¡
 
pale mwisho wa matokeo ya o level zile herufi zinamaanisha nini
 
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua

huwa hapa jf hatupost vi2 ambavyo tunahis incase u didnt knw..ukipost ki2 kama umeckia inatakiwa uwe na proof na sio kukurupuka tu
Kama unapost ki2 ambacho unahic its better to keep it in ur own head na sio kuja kujaribu kuwapa wa2 false hop na kuwatia presha..
Behave, this z a gr8t thinkerz platforn n not some funky site..
 
Naskia hizi selection za UDSM ni feki........wabongo wamechakachua
HAHAHhahahhaahha kumbe ni junior member karibu jf!! inaonekana ulikua unapenda upangwe ud ila bahat haikua yako,,,usikonde ungana nami na wengine tungoje tcu watoe selection za vyuo vingine!!!! hahahahahha
 
Daa ila kweli bana za uongo tcu hawajatoa na majina ya waliokosa yanatoka leo mbona.....me nasubir mpaka nihakikishe
 
ni kweli senior kunakujipa moyo bt huku kumepitiliza hakuna uchakachuzi wa namna hiyo mpaka detailz za form four hahahahaha hakunaga!!!!! mi nawapa hongera wote mliochaguliwa UDSM
 
wabongo! Mh, hamfai, xaxa mmehack tcu, matokeo mtatoa nyie??
Via MNANIKERA!
 
Back
Top Bottom