..........Hivyo inakuwaje mtu ana fake orgasm? Mbona mie naona ni kitu ambacho hakiwezekani na wala siwezi.Kwenye ile wala sikubali kumaliza bila kufika huko lol.
1.Inatakiwa wewe mwanamme ujue kuwa mwenzako kafika au la.Kwanini wanawake wanadanganya?
Kwanini wasiseme kweli kuwa tumewaacha njia panda ili tujue ni namna gani tuwasaidie wafike kileleni?
1.Inatakiwa wewe mwanamme ujue kuwa mwenzako kafika au la.
2.Kumuuliza swali kama je tayari au tuendelee HAIPENDEZI usitegemee kupatajibu la ukweli sana sana atakujibu mi BASI, na yaonyesha hujui au huna uhakika wa ulichokuwa ukitenda ndio maana unaulizauliza.Soma alama za nyakati.Anataka nini,hataki nini,kinafuata nini.
3.Anaweza akapiga kelele ili kukuibia.Ili ujue anafurahia mechi,kumbe moyoni anaomba iishe.
4.ni kazi yako kugundua hii ni fake au si fake.
5.Kwa nini umwache njia panda?KOSA KUBWA SANA.je wewe ukiachwa njia panda utakubali?
6.Hawawezi kusema ukweli kwa vile wanadhani wewe nguvu zako na uwezo wako ndo umeishia hapo sasa adai nini zaidi?
7.Wanadhani kuwa wakieleza kuwa wao bado huenda mwanamme utahisi msichana hakupendi,kazi yote hii uliofanya yeye huyu msichana bado tu na..........
SAMAHANI,wakufundishe kwa nadharia au kwa vitendo?smu! natoa mwito kwako na kwa wanawake humu ndani; mi sioni soo kusema sijui! Nifundisheni bana!
I believe una somo la kutufunza;
tielezeeeeeee
yeah; kuna kitu kama mtu kupatwa na orgasm kabla hata jongoo hajazama mtungini ; baada ya mwendo wa dk kadhaa unashtukizwa na swali mbona humalizi? eti yeye alimaliza kabla ya wewe kuanza? Nishaaambiwa sana enzi hizo!
niparamie ila usikeshe!ukimaliza tu shuka! ala!....
..........Hivyo inakuwaje mtu ana fake orgasm? Mbona mie naona ni kitu ambacho hakiwezekani na wala siwezi.Kwenye ile wala sikubali kumaliza bila kufika huko lol.
Hahaa, umenikumbusha enzi zetu chuoni kabla hatujaolewa. Hii ilikuwa ni strategy nzuri sana kama unasex na mtu usiyempenda lakini unahitaji hela yake kujazilizia BOOM. Unaenda naye halafu baada ya dakika kama mbili unamuuliza HUMALIZI? MI TAYARI. Basi jamaa anajiharakisha faster, halafu we huyo mbio kwa boyfriend wako kumalizia orgasm ya kweli. Rafiki yangu Doreen alikuwa anaiita starter.
Mmmh...hapo kazi ipo!
vipi na wewe unataka kuniparamia nini?
Hahaa, umenikumbusha enzi zetu chuoni kabla hatujaolewa. Hii ilikuwa ni strategy nzuri sana kama unasex na mtu usiyempenda lakini unahitaji hela yake kujazilizia BOOM. Unaenda naye halafu baada ya dakika kama mbili unamuuliza HUMALIZI? MI TAYARI. Basi jamaa anajiharakisha faster, halafu we huyo mbio kwa boyfriend wako kumalizia orgasm ya kweli. Rafiki yangu Doreen alikuwa anaiita starter.
niparamie ila usikeshe!ukimaliza tu shuka! ala!....:target:
Mhh, am a lady, nimeipenda hiyo, nipe number yako nikutafute unipe somo zaidi. Seems you great on this man!!!
Si ndo hapo; weye ujaona hata dalili? Hata ile ya wewe kubanwa mbavu hamna!? Kweli?
Umalaya mtupu. Yaani hii watu wanaita changuduo class A. Kama ulikuwa hujui we pia ni changu tu.Hahaa, umenikumbusha enzi zetu chuoni kabla hatujaolewa. Hii ilikuwa ni strategy nzuri sana kama unasex na mtu usiyempenda lakini unahitaji hela yake kujazilizia BOOM. Unaenda naye halafu baada ya dakika kama mbili unamuuliza HUMALIZI? MI TAYARI. Basi jamaa anajiharakisha faster, halafu we huyo mbio kwa boyfriend wako kumalizia orgasm ya kweli. Rafiki yangu Doreen alikuwa anaiita starter.