Dah... Husninyo... Huyo jamaa threshold yake ya temper iko chini sana... Umenikumbusha...dah huwezi kuongelea mambo ya ban bila kumtaja Mwita...!
Alihusika nazo sana!
kingine kinaiwa MAMA POROJO
nimemiss vituko vyake kwakweli. Amepigwa server ban nin?
Yule jane000 alikuwa anaboa sana.. Ndio maana siku hizi kumetulia humu
wako alumelu!
Kumbe kweli ada ya somo la kiswahili ulikuwa unakula. nitakurudisha tena darasa la kwanza.
miss america!!!fasi ya wapi?
Wote mlio wataja ndiyo miongoni mwa wana JF wanaochangamsha jamvi. Umjitambue kuwa watu wanapo potea sio ajili ya ban. Bali jamvi lina kuwa halina mwelekeo wala mvuto. Ndiyo maana wana amuwa kwenda ku booz maeneo myororo.
Hata mie huwa nalikimbia jamvi lanapo poteza mwelekeo.
LISEMWALO LIPO. na UKWELI UNAUMA. Lakini inabidi kusema tu hata kama utakanyaga vidole vya watu.
Yupo wapi mwita?
Mambo kijanaNam miss sana aixee..huyu ndio alinifanya niwe active JF..nilikua napenda kumchokoza Mwita 25..Atimw52 akaja akamalizia na MBWA doh ..nammis sana..ha ha
Hahaha hawa jamaa, aisee. Malaria sugu yuko wapi siku hizi?hawa watu nasikia wameanzisha blog yao inaitwa "kwetu pazuri" kwa wale wanaopata ban huwa wanaenda huko
HahahaMalaria sugu hamalizi miezi miwili bila ban, safi sana ajifunze adabu