faiza foxy na malaria sugu

faiza foxy na malaria sugu

Dah... Husninyo... Huyo jamaa threshold yake ya temper iko chini sana... Umenikumbusha...dah huwezi kuongelea mambo ya ban bila kumtaja Mwita...!

Alihusika nazo sana!

nimemiss vituko vyake kwakweli. Amepigwa server ban nin?
 
Yule jane000 alikuwa anaboa sana.. Ndio maana siku hizi kumetulia humu
 
nimemiss vituko vyake kwakweli. Amepigwa server ban nin?

Labda:. IP add yake imekuwa banned...
Dah yule kiboko..

Siwezi kusahau mashindano ya Kiingereza...
Jamaa alikuwa anatumia ma-terminogy magumu balaa!
 
miss america!!!fasi ya wapi?

Ah yule naye thread yake ilikuwa kali. Na nilivutiwa na yule jamaa,aliyependa kumsaidia Miss America kumfundisha Kiswahili...

Eti," I will help you learn,and translate..for example here they say you are not from America,you are just from Tandale..."
alikuwa ananipa raha sana..
 
Wote mlio wataja ndiyo miongoni mwa wana JF wanaochangamsha jamvi. Umjitambue kuwa watu wanapo potea sio ajili ya ban. Bali jamvi lina kuwa halina mwelekeo wala mvuto. Ndiyo maana wana amuwa kwenda ku booz maeneo myororo.

Hata mie huwa nalikimbia jamvi lanapo poteza mwelekeo.

LISEMWALO LIPO. na UKWELI UNAUMA. Lakini inabidi kusema tu hata kama utakanyaga vidole vya watu.
 
vipi leo jukwaa la wagonjwa yupo nani naona mzizi mkavu naye hayupo
 
Mimi nam'kosa yule mchizi mwenye signature ya 'Mia', anaitwaga nani tna vile?
 
Back
Top Bottom