Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,942
- 43,599
HAHAHAHA MKUU WARUMI UMENICHEKESHA SANA ULIVYOMPA DAWA MNAFIKI,,,,,HAHAHANdugu yangu hili sio jukwaa la dini, sasa wewe ndugu yangu umetoka kanisan bado tena unasoma umbea? , ama kweli safari ya mbinguni inahitaji moyo kwa kweli , so umeenda kanisan bado tena na umbea wa warumi unataka kusoma? Nyie ndo mnachomwaga mpaka kope, c mchagua kutumikia bwana mmoja unafiki tu mxiee