Faiza Ally amfungukia mchumba mpya wa Sugu, adai anahonga mashemeji na mama mkwe

Status
Not open for further replies.
Looking from another perspective this girl truly loves Sugu,..sijui walikosana nini but huyu mwanamke alipenda haswaa,if she ain't crazy she's not inlove..she's crazy for that man she's inlove, innocently...
Sadly watu inabd uwe kauzu uwaignore muda mwingine ili wajue hata bila wao you can move on, get another man akupunguzie mawazo ya huyu Sugu
I love you! Oh, I mean your post!
 
"yahitaji akiri ya faiza f..x mheshimiwa kuwaonyesha waheshimiwa wenzake kidole cha kati" so sugu na faiza ni watu wawili wanaofanana akiri na matendo, kwa hiyo mmoja anapomkosa mwenzie lazma kuna kuweweseka.
 
Naiamani siku ifike tuachane na kufatilia maisha ya watu wengine, utasema ana matatizo lakini pengine matatizo yako binafsi ni makubwa kuliko yeiye.
 
yet

Faiza Ally Kamfungukia Mrembo anayesemekana ndio mchumba wa Mh Mr Sugu Kwa Sasa Anaitwa Happy...
Soma Hapa:
Simpati Kwa lipi huyo happy - makengeza? Au Kwa sababu Ana Fany kazi biuro Au Kwa sababu Na baba Sasha wamefanana sura ? Simpati Kwa sababu kila wiki anatuma Mbeya Samaki? Simpati Kwa sababu Ana mfupi mweusi mbaya Au simpati Kwa sababu Ana tumia nguvu Na hela KWENYE mapenzi ? Au simpati Kwa sababu mweusi Ana vidole Kama tangawizi? Mkisema simpati mna maanisha nn hasa ? Au simpati Kwa sababu hazai ? Simpati kivipi labda tuwekane Sawa ! Siwaelewi ....? Nielewesheni? Au simpati Kwa sababu Ana honga mashemeji Na mama mkwe yaani kivipi sielewi? Haha nyie mnao SEMA simpati naombeni majibu simpati kivipi ? Au simpati Kwa sababu amenuna gari kasema kanunuliwa ? Siwaelewi simpati kivipi ?[/Q

yetooooooo
 
Sanaa za bongo kick za insta zimehamia jf shikamoo magu
kwani wewe hupo instagram?
halafu humu jf kuna kila aina ya jukwaa azia la biashara gt na ucheshi michezo

kama unajiona mwanasiasa nenda siasani..............................
 
Kama unauwezo wa kupiga vizuri hakuna mwanamke utakae mpiga afu akakusahau, tunapata shida sana especially sisi wanaume wa mikoani wengine tunakumbukwa mpaka leo mikoa ya mbali. Mm binafsi najua shemeji anasili kubwa moyoni na pia hajapewa second chance to apologize kwani kumbukumbu bado haijafuta zile match za home and away
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom