Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Nilufer

JF-Expert Member
May 10, 2012
9,316
12,826
Yule mwanadada machachari na ex wa Mbunge maarufu kutoka mkoa wa Mbeya, Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameibuka na kuicharua shule maarufu ya watoto wa kishua kwa kumrudisha mtoto nyumbani kisa anadaiwa laki moja ilihali yeye mzazi ameshalipia kiasi cha milion mbili taslim.

Kama kawaida yake hasira zake akazimalizia kwa muheshiwa kwa kumshushia kichambo heavy ambaye mara nyingi ndiye victim wa stress zake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom