Faiza Ally aicharukia shule anayosoma mwanae pamoja na Mheshimiwa 'Sugu'

Tatizo huyu single mother bado anampenda sugu ila ndio hivyo sugu kasha move on hana time nae,kuna binti nimezaa nae basi hawatofautiani na huyu Faiza ipo siku kichaa kinampanda basi atatuma sms zaid ya 100 uzuri mm nazisoma then sijibu chochote ndio anapagawa kbs...
 
Mtoto ndio kwanza yupo chekechea na Ada ni kama milioni 2 na chenchichenchi kadhaa...daah ya nini kujitakia presha yote?? kwani hamna English medium zenye ada pungufu na hapo? Au ndio kujioneshea ufahari...?
 
Mtoto ndio kwanza yupo chekechea na Ada ni kama milioni 2 na chenchichenchi kadhaa...daah ya nini kujitakia presha yote?? kwani hamna English medium zenye ada pungufu na hapo? Au ndio kujioneshea ufahari...?
YAni hata mimi sijawahi kuelewa chekechea ya milion mbili ina nini cha ziada labda kama ina matoy ya kiwango cha juu ya kuchezea lakini sidhani kuna la zaidi ambalo mtoto mdogo anaongezewa katika masomo.
Chekechea nimejikunja sana laki sita sitaki mchezo.
 
Funzo kwa vijana muwe makini kuchagua sehemu za kuchovya,ama kufyatua.keshatuuzia sana wakazi wa hong kong na vitongoji vyake miaka ya nyuma.Ile biashara inapagawisha,wengi hawajabaki salama upstairs.
Mke mwenyewe wamekutana Facebook unategemea nini nduguyangu
 
Sasa huyu wa pili aliyezaa na baba asiyejulikana akifikia mda wa kwenda shule atamcharua nani atume ada?vitu vingine vya kujiongeza ina maana Faiza amekosa hiyo laki au ndo anapenda madrama na Sugu.

Huyu kichanga akifika wakati wa kwenda shule ndo tutamjua baba ake . Lazima na yy apokee kichambo kama cha mheshimiwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom