Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,650
Mambo ya wanamitindo haya tuwaachie wenyewe
Isure Ndio nn?Isure hapo ni nini? Kama vazi la kwenye harusi amekosea, ila kama vazi la ufukweni, sijui mlitaka avae nini? Au shela? Hahaha mimi sioni kosa lolote wadau, mavazi ja ufukweni ndivyo yalivyo, sasa isure siju nini.
Kanapenda mno kukaa uchiDuuuh![]()
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Matiti yenyewe kama amenyonyesha watoto sita hayana mvuto kbsa.
unajua kuwa africa kuvaa hivyo ndio ilikuwa tamaduni yetu??Ivi watanzania utu wetu upo wapi mbona tunapoteza misingi yetu kama jamii iliyostaharabika na kukumbatia tamaduni za kipuuzi..![]()
Dini yake inaruhusu hakuna shida
kaIvi watanzania utu wetu upo wapi mbona tunapoteza misingi yetu kama jamii iliyostaharabika na kukumbatia tamaduni za kipuuzi..
Khaaa Kmbe huyo Malaya wa Q BarIvi watanzania utu wetu upo wapi mbona tunapoteza misingi yetu kama jamii iliyostaharabika na kukumbatia tamaduni za kipuuzi..![]()
Katika ubora wakoTuziwa tule...ka kanda mbili ya umoja
Ohooooo!!!Ndugu yake si Faiza foxy wa humu jf aje kumsemea