Faiza Ali na vazi LA ufukweni

Aug 8, 2016
98
81
0e446f3cf3e75c9255e531c4d7ca9c49.jpg
Ivi watanzania utu wetu upo wapi mbona tunapoteza misingi yetu kama jamii iliyostaharabika na kukumbatia tamaduni za kipuuzi..
 
Wakristo motoni sisi tunagundua mavazi nyinyi hamtaki kuvaa mnavuavua tu kama watoto
 
Umeita tamaduni za kipuuzi...hao wapuuzi wanaishi wapi, na tamaduni zao ni zipi?

Kumbuka sisi wenyewe ndio tuliobadilisha gia angani baada ya hao Wazungu kuja kutuambia hizi ni chupi, hii sketi, hii suruali vaeni mtapendeza. Sasa kama tulikuwa na tamaduni za maana ni kwa nini tulikubali kubadili chetu na kuchukua cha wapuuzi?

Leo hii ukikaa upande ule na Mzungu upande huu ni nani anamuona mwenzake mpuuzi?
 
Malezi malezi malez, uyo atakua kalelewa chooni si bure....mbaya zaidi atakafundisha na huyo binti ake atakua hvo hvo
 
Back
Top Bottom