Fairplay: ukibebwa bebeka!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,171
View attachment 63706

Huyu jamaa alikuwa ana save kwa chai aliyokunywa asubuhi.Nilimfuatilia zaidi ya kilometa mbili na jamaa nafikiri alipata mwaliko wa hiyo gari-FAIRPLAY!

Kama ni mjanja la sivyo mimi bado nafikiria.
Wewe unasemaje?
 
Watu wana mioyo kama wendawazimu,sasa huyu jamaa hafikirii kuwa gunia linaweza kumporomokea..??
 
kaka unakaa Tegeta, Bunju au Boko ha ha ha

Nimeona hiyo mitaa kiongozi wangu, njia ya chini sio?
 
Hi ipo sana ukitoka uyole kwenda Tukuyu mtu wa baiskeli anapata lifti km 10 akipanda milima
 
Pamoja na kwamba ana save nguvu; risk ni kubwa saanaa!!!! Hili lori likipiga breki ya ghafla au likichomoka breki lazima auumie.
 
Back
Top Bottom