Sasa vipi tupige game za kirafiki kama starz na zambia..
Au na wewe unataka formal game za champions league kama man utd vs real madrid, juventus vs celtics or shaktar donesky vs borussia dortumund ( hii ni bonge ya game usisahau kuitazama february)
Sijachakachua thread ni mifano tu

Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you....................................................
Kweli kabisaa, uwazi wa nini unakitaka katika hayo mahusiano kwanza yanaonesha ni mkweli, pili Umepevuka na kukomaa kimahaba! Tatu hujipi madeni yasiyo na msingi! Hujaahidi usichoweza kukitimiza! Nnne mizambi unapunguza tano! Tano unampa mtu chance ya kuamua vingine akipata nafasi! Sita Mnazingatia zaidi jambo la msingi la kula maraha kuliko kuimpressiana!, Saba kila mtu ana follow the rules! zile mambo za kufatiliana hakuna! Kila mtu anabaki na uhuru wake!, Nane Unakuwa in control na unaretain control! Tisa! Hupimiwi game coz ndo sababu ya msingi ya kuhusiana! sio sababu saidizi! Kumi malizia mwenyewe!
hayo niloyacopy ndo kitu nilichomaanisha kwenye intrvw yetu ilee, kwann umpotezee mtu wakati wake ilhali wajua you are there 4the sake of the game??? be open ka huyo jamaa, bana eeh!! am here to enjoy the game whenevr necessary, no strings attached, afu na mashosti pia muwage mnauliza sio kuingia kichwakichwa ukijiandaa kuwa wife kumbe mwenzio anafanya praktiko....
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Afu mwanaume ukimwambia hivo anafurahiije!!!!!!!!! Yaani anaweza hata kufanya party la kusherekea!
Ila ndo mpango mzima! Sio kuliana timing! Uko na mtu anakutegemea akuoe kumbe wewe unafaidi game huku unatafuta mwengine wa husband material!
Game yeyote lazima iwe na rules na guidelines...unajua sio kila 'aniitaye bebi' anafaa kuurithi ufalme wangu..wengine wapo just for good times tu....Kama ulivosema ifike wakati tutofautishe 'games' na 'real love'...hapa ndipo wengi tunakwama..mwingine anadhani ile ku-do naye tu basi ndio umempenda...nooo...sometimes ni issue ya muda tu..hawakukosea waloweka 'one night stand'..Naafikiana na wewe kwamba ifike wakati 'vigezo na masharti' vizingatiwe..use me when i use you....................................................
tatizo mashosti hawataki kuambiwa ukweli wao mtu akiwaaproach wanajua husband...kumbe katamani mzigo...ni simple na inakupa hata we mwenyewe uhuru wa kutest different products zilizoko sokoni kwa uhuru kabla ya kufika deadline...
asanteee!!! umenena,,,kweli xmass imekaribia....hahahahah
Hahahaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!! Afu mwanaume ukimwambia hivo anafurahiije!!!!!!!!! Yaani anaweza hata kufanya party la kusherekea!
Ila ndo mpango mzima! Sio kuliana timing! Uko na mtu anakutegemea akuoe kumbe wewe unafaidi game huku unatafuta mwengine wa husband material!
kuna wakati hapa niliwah kusema na leo narudia tena b4 anyrelationship terms and conditions applied shld be put in place.
huwez kutoka na mtu pasi kujua unatoka ukiwa na mategemeo gani. kama ni za kirafiki sema na highlight your terms and condition.
BTW hivi kuna watu ambao wanaingia kwenye mahusiano wakiwa empty slate??
Matatizo mengi yanakuja kwa sababu hatuwi wakweli...mfano mshikaji mlokutana naye kakuchana 'live' tu hapa kazi tu kula kwenu au siyo?.....Shida inakuja pale nyie wadada mnapoletaga lile neno lenu nisilolitaka..'la umenipotezea muda wangu'..cmon....muda haupotezwi kwako tu hata kwangu..tufike wakati tuwe wakweli kwa nafsi zetu na tukubali kuwa sio kila game ni 'champions league'...zingine 'friend match' tu...............