Faini kubwa barabarani ni kichocheo cha rushwa

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Habari wana jamvi,

Utakuta mtu mwenye ka pikipiki kakamatwa na trafiki kwa kosa la kutovaa helmet au kutembea bila leseni anatozwa faini ya 30,000/.

Kwanini asimshawishi askari kwa 5000 au 10000/-ili aachiwe?
angalizo:faini zipunguzwe kuendana na aina ya chombo na aina ya makosa.

Hapo serikali itapata mapato sababu mtu mwenye gari ndogo akitozwa 10000/-ni rahisi kuilipa kuliko akitozwa 30,000/=.
 
Back
Top Bottom