Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

Eti wadau tutarajie nini kipindi cha pili kutoka kwa timu zote?
 
unadhan ntataka tufike huko? natoa kishika uchumba kwanza(mimba) then kuanzia hapo wataniozesha tu mjini hapa. hao ng'ombe wote wamesikia ng'ombe wanazaa kama panya? mi ntamweka sawa bint nampa kishika uchumba.then tunaoana kimjin mjin.... halafu nambadilisha team anahamia kwa mnyama mfalme wa mwitu.
 
Timu zinaingia uwanjan kwa ajil ya kumalizia mngwe ya pili, mtibwa 0-0 simba, mtibwa nipeni raha jaman
 
Back
Top Bottom