Fainali kombe la Mapinduzi, Simba zaidi ya uijuavyo

makoye..... hapa ni utani wa jadi so napomtania huyu dada ananielewa. ndo maana naye unamsikia anazungumzia simba kuolewa n.k so napoandika hizi hbr ni kwa kuwa mpira ni furaha na utani wa jadi kama ilivyo simba na yamba na huyu dada ni yanga sana. so mi nataka nitangaze posa kwao.
 
Umeona avatar yake? Ng'ombe 50 unazo?
 
Simba kona 5 mtibwa 0
Yellow card 1 mtibwa 0
SIMBA 0 - 0 MTIBWA
dk 44
 
mkuu nipo hapa kukufanyia UNOKO juu yako pindi yatakapo timia.

Achana nae huyo! Sio ajabu yuko safarini kijijini kwao na anajua hakuna Network huko hivyo wiki nzima hatakuwa hewani.
 
Komeo Lachuma tuheshimiane sawa kaka, yaani nimesoma hata siamini ulichoandika.
Acha ufinyu wa kifikra, nani alikwambia mpira ni wa wanaume tu?

Wewe si mwanamichezo nakwambia na wala si mpenda mpira, ungekuwa hivyo ungekuwa unatuona uwanjani.
Huwa tunakuwa wengi, na pia ungeona kwenye world cup jinsi wanawake walivyojaa.

Pole sana utakereka sana maana napenda mpira sana, na naipenda Yanga na Chelsea bila kusahau L.A Lakers. So tegemea kuniona humu halafu ushike adabu yako.
 
Last edited by a moderator:

Binafsi niliona kabisa ameenda nje ya utani!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom