unadhan ntataka tufike huko? natoa kishika uchumba kwanza(mimba) then kuanzia hapo wataniozesha tu mjini hapa. hao ng'ombe wote wamesikia ng'ombe wanazaa kama panya? mi ntamweka sawa bint nampa kishika uchumba.then tunaoana kimjin mjin.... halafu nambadilisha team anahamia kwa mnyama mfalme wa mwitu.
Duh nyumba ntobhu tena?Nimeolewa nyumba ntobhu miye, so tulia muone wanaume wa manungu wanavyowafanya leo. Simooooooooo. Case closed...
Hawa Mtibwa inaonekana wagumu sana, itabidi tutumie silaha zilizoko nje ili tumalize hii kazi kirahisi, wapi Simon Sserunkuma, wapi Shaban Kisiga, wapi Elias Maguri, hizo silaha tatu zinaweza kutufaa kipindi hiki cha pili.
Ni kitabu kizuri sana nadhani kilianza kutumika enzi zetu baada ya kuondoa kitabu nadhani 'Zaka la Damu'.
Mtibwa Sugar tandika Simba bao moja kwa nunge.
Duh nyumba ntobhu tena?
Evans naye hucheza nafasi gani vile?Umemsahau Evans Aveva.
Ndio Masuke mbona umeshangaa? nimeolewa nyumba ntobhu.
Huku kwa simba muda si mrefu kutatokea jambo tu, acha ninyamaze
Hiyo haifai kabisa, sasa ikitokea unakabidhiwa kwa yule usiyempenda unafanyaje? kuchepuka si nje nje? Tafadhali naomba useme ulikuwa unatania.Ndio Masuke mbona umeshangaa? nimeolewa nyumba ntobhu.
weken matokeo wadau
Case clised. No Further Action required.
Evans naye hucheza nafasi gani vile?
Hiyo haifai kabisa, sasa ikitokea unakabidhiwa kwa yule usiyempenda unafanyaje? kuchepuka si nje nje? Tafadhali naomba useme ulikuwa unatania.
Eti wadau tutarajie nini kipindi cha pili kutoka kwa timu zote?