Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Nitakujibu kama ni kweli ama natania, endapo tu Mtibwa ikishinda.
Jibu kamilifu sana.
Nitakujibu kama ni kweli ama natania, endapo tu Mtibwa ikishinda.
Nitakujibu kama ni kweli ama natania, endapo tu Mtibwa ikishinda.
Evans naye hucheza nafasi gani vile?
tutarajie Simba kufukuza kocha baada ya mtanange kumalizika...
Sawa, kwa jinsi tulivyo full masinondo na hizo condition ulizoweka basi sitapata uhakika wa ama unatania ama hutanii.
Kwa jinsi mnavyoshirikiana kushibisha hoja inafaa muwe viongozi wa Yanga mmoja m/kiti na mwingine katibu ili mshirikiane kuiletea maendeleo timu yenu.Jibu kamilifu sana.
Huyu refarii mbona kama anachezesha chandimu???
simba hana historia ya matumaini kwa mtibwa...unatarajia nini Simba vs Mtibwa wakicheza?
Mimi si mshirika wa maombi ya hivyo, Mtibwa hawana pa kutokea leo.Ndio tuombe pamoja, Mtibwa aondoke na mkewe. Tushamlipia mahali atii.
zungumzieni mpira nyie,mmekalia majungu kama mabinti!!Kufuta kazi makocha...
Mimi si mshirika wa maombi ya hivyo, Mtibwa hawana pa kutokea leo.
sipendi wafike huko watatuchelewesha kulala...Naona dalili za kupiga matuta
Mimi si mshirika wa maombi ya hivyo, Mtibwa hawana pa kutokea leo.
sipendi wadike huko watatuchelewesha kulala...
Mtibwa wamezoea kupita kwa matuta, safari hii tunakaba hadi kwenye matuta.Hii ni dakika ya 75 bado 0-0.