grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
"... na hebu tusubiri hiyo jumamosi tuone kama nazi [jkt ruvu] itatimiza ndoto yake ya kuvunja jiwe [kandambili]... nikiripoti toka ITV ni mimi Hemedi Kivuyo"
cc Makoye Matale nifah mkolaj na kandambili wote
Mengi naye amezidi kuajiri vihiyo mpaka anaboa, sasa pale ameajiri nini ile!
Maadili ya uandishi wa habari hayaelekezi mwandishi kujipambanua upande unaosapoti kiasi kile. Hata Charles Hilary ni Arsenal damu lakini ni vigumu mno kumfahamu anapotangaza mpira ama anaporipoti matokeo.
Hili zezeta utalichukia siku kandambili ibahatike kushinda, litatumia dakika tatu kuimba mashairi ya kuisifia mitaa ya jangwani mpaka kero. Nadhani Kivuyo na Steve Yanga wana ubongo unaofanana.
Last edited by a moderator: