Ok,naomba uniwekee na matokeo rasmi ya Mtani Jembe 1.
Mtani Jembe 1 mlikunja zaidi ya milion 98 lakini uwanjani hamkufanya chochote, Mtani jembe 2 tumetii ule msemo wa kizungu unaosema a winner takes it all.

Mkuu hapo kwenye kufungua vizibo naona umemwongezea zaidi ya milion 6 na nusu, kiukweli Simba walipata Tsh 77,590,000. Hivyo jumla Simba walikunja zaidi ya milioni 92 na Yanga walipata chini ya milion 8.
Good day.
Mtani Jembe 1 mlikunja zaidi ya milion 98 lakini uwanjani hamkufanya chochote, Mtani jembe 2 tumetii ule msemo wa kizungu unaosema a winner takes it all.
Wewe mashabiki wa Yanga ndio watoto wa mjini pure,wasomi na watu classic kama hujui.Mashabiki wa simba wengi wao ni mijimama iliyojichokea na wazee,kama vijana wapo basi ni mateja tu.
Hadi sasa siamini kama na wewe best angu geniveros ni shabiki wa mikia!
Roho inaniuma kweli yani kumuona hata Mdakuzi wangu kapotea kwa mikia,nitafanya niwezavyo hadi nimvishe kitu za uzi wa njano na kijani na kadi juu.
Mkuu hapo kwenye kufungua vizibo naona umemwongezea zaidi ya milion 6 na nusu, kiukweli Simba walipata Tsh 77,590,000. Hivyo jumla Simba walikunja zaidi ya milioni 92 na Yanga walipata chini ya milion 8.
Duh! Kusema kweli aliyekupa taarifa hizo amekupotosha kabisa. Simba ni ya kizazi hiki kabisa, chunguza tu mwenyewe utaona, achana na taarifa za upotoshaji. Lol
Ova
Hahahahahaaaaaaaa...mpelekempelekeee...kimyaaaaaaaaaaaSimba hii ndiyo ile imemwonyesha njia ya kwenda Lusaka Mwl. Phiri baada ya kufungwa na Kagera Sugar. Simba hii ndiyo iliyokubali kipigo cha tiGO moja toka kwa Mtibwa Sugar hii hii katika hatua ya makundi ya mashindano haya haya! Simba hii hii ndiyo ile isiyo na golikipa; sasa wewe unataka kutuaminisha nini jioni hii ya leo?
Hahahahahaaaaaaaa...mpelekempelekeee...kimyaaaaaaaaaaa
Ameondoa raha ya jukwaa kabisa, sasa tutamnyanyasa nani humu ndani. Nafahamu Yeboyebo wako wengi humu lakini hawajitokezi mpaka kiatu cha chooni kishinde...Mkuu Makoye Matale siku hiz anasali muda wote
Hatokei kabisa humu jukwaani
Chezea kunyanyasika wewe
Hadi mhindi anaondoka watakuwa wameisoma namba
Ameondoa raha ya jukwaa kabisa, sasa tutamnyanyasa nani humu ndani. Nafahamu Yeboyebo wako wengi humu lakini hawajitokezi mpaka kiatu cha chooni kishinde...
Kuna mmoja anaitwa mkolaj humu anajikongoja kimtindo
Kuna mwingine anaitwa Deo Corleone
Lakini uwe na tahadhari nao...manake wana hasira za kifaru aliyejeruhiwa...hahahahaha
pia kuna mwakilishi wa kina dada Bantulady
Huyo Bantulady kashapotea na kaka yake Makoye Matale
Ila huyu nifah anajitahidi
Ila pumzi yake ndogo tu...polisi wataikata Jumamosi
Wadau Jumamosi simba analamba mtu taifa