Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Dah! Alafu kweli, hawa ndala watakuwa wanaichukia sana rangi nyekundu na nyeupe. Maveterani wa Simba bado wanaendeleza bakora, Simba kama timu bado wanaendeleza bakora, nina mpwa wangu anasema shuleni kwao msingi huwa wanacheza Simba na Yanga, na huwa Simba kama kawa. Nawaoneaga huruma sana hawanaga pa kutokea inapokuja jina Simba.
Apendaye chongo huita kengeza, soma na angalia mwenyewe hapa:
YANGA VETERANI YAIFUNGA SIMBA VETERANI UWANJA WA BANDARI TEMEKE | JAMIIBLOG au
YANGA VETERANI YAIFUNGA SIMBA VETERANI UWANJA WA BANDARI TEMEKE | FULL SHANGWE BLOG
https://www.youtube.com/watch?v=-wKBlC6Sn0s