Kizaizai mpe somo huyu mjapani KOZO OKAMOTO jina lake baya halafu anaingia ofisi ya wamama waliovaa mawigi ya kizamani na sketi fupi halafu anawapa shikamoo. anafikiri shikamoo inaliwa. Angeanza na HABARI GANI WAREMBO faili lingetoka fasta na mida hii angekua amechukua mpunga na kuelekea ROSE GARDEN
Unakenua meno kinafki kama mwanasiasa.
sio mwanasiasa mkuu,labda uniambie kama mbunge wa ccm
Kozo. hebu stopisha hii topic yako tufanye kazi za watu
hadi kufika tisa unusu utakuwa umepata urejesho
hahahaha mkuu,mwenyewe niko job,ila cjanyi kazi hadi faili lipatikane.kifupi nimegomesha tuone kama hawatatalitafuta
waiting............ waiting..............
R.I.P (in advance) Mhudumu wa Masjala utakayenyongwa na Kozo Okamoto ......
R.I.P (in advance) Mhudumu wa Masjala utakayenyongwa na Kozo Okamoto ......
bategereza mpe fail lake la sivyo kazi zinalala hapo we jifanye mbabe tu
na ikifika tisa unusu nachukua sick sheet,nazama amana ili nisije job wiki hii yote tuone kama taarifa flan zisipofika kwa bosi wiki hii kama hawajalitoa kwa nguvu
Haujaenda kumzika baba mkwe wako?
nipo hapa msibani napoteza tu mawazo hapa
Asante sana jirani. eti halionekani!!!!!? tatizo tipi. kwani wenyewe wanakula sura na mafaili? tena toa tip haraka ili mshahara wa kima cha chini uwe kima cha juu.ha ha ha kumchukua bosi ni mbali unaenda mwenyewe unatoa... wewe nae kusoma ujui hata picha uoni kamata mmoja mpe 30,000 ufanyiwe kazi yako unajifanya ni tip
Hawakeri hata kidogo kaka Kozo Okamoto.tatizo unaenda na sura kama unachorwa tatuu unafikiri watakuelewa hao nguchiro?? nenda na mtama ule mtamu mtamu wanauita serena au lulu kama faili hutaliona ndani ya sekunde kumi na nusu.hahaha mkuu,wanakeraje?
sawa shangaziAisee,
Poleni sana;
Usiache kumpitia bibi yako pale nyumbani,
Anaumwa umwa ni wiki ya pili sana hatoki ndani.
Hawakeri hata kidogo kaka Kozo Okamoto.tatizo unaenda na sura kama unachorwa tatuu unafikiri watakuelewa hao nguchiro?? nenda na mtama ule mtamu mtamu wanauita serena au lulu kama faili hutaliona ndani ya sekunde kumi na nusu.