Faili halionekani

Faili halionekani

ha ha ha unapenda kulipiza kisasai kesho fail linaptikana ukirudi tu kila mtu kakununia ofisini utakoma

bora iwe hivyo tu wangu.akininunia mke wangu hapo itakuwa kazi but wao,haina shida kabisa
 
ndiyo mmoja wapo

wanakera kweli,kuna wakati nilikuwa namuhamisha waifu kutoka mkoani kuja hapa mjini.yeye ni ticha.hadi namaliza shughuli za uhamisho tulikuwa tumeshafungua mafaili mapya 5.yaani leo hili halionekani,tunafungua jipya tunapiga fotokopy mi particulars yake tunaiweka humo faili linatembea.hadi mwisho wa siku faili tano
 
Kizaizai mpe somo huyu mjapani KOZO OKAMOTO jina lake baya halafu anaingia ofisi ya wamama waliovaa mawigi ya kizamani na sketi fupi halafu anawapa shikamoo. anafikiri shikamoo inaliwa. Angeanza na HABARI GANI WAREMBO faili lingetoka fasta na mida hii angekua amechukua mpunga na kuelekea ROSE GARDEN

hahahahaha kama ulikuwepo ndo swagga za kina King'asti Kongosho na snowhite wawapo ofisini lol
 
Last edited by a moderator:
wanakera kweli,kuna wakati nilikuwa namuhamisha waifu kutoka mkoani kuja hapa mjini.yeye ni ticha.hadi namaliza shughuli za uhamisho tulikuwa tumeshafungua mafaili mapya 5.yaani leo hili halionekani,tunafungua jipya tunapiga fotokopy mi particulars yake tunaiweka humo faili linatembea.hadi mwisho wa siku faili tano

pole Kozo Okamoto pole sana get well soon...
 
Back
Top Bottom