Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,073
- 6,909
Umenikumbusha waziri wa nchi ofisi ya baba Riz, ugawaji wa juice na maandazi, alipokuwa jimboni kwake badala ya kuelezea faida za katiba ya serikali mbili anaishia kusema CDM wabaya wakati hawajaanza kumkaba koo kama mwanae Easter.sio mwanasiasa mkuu,labda uniambie kama mbunge wa ccm