Faida za Windows phones

Faida za Windows phones

Me n iOs, iOs in me! Hizo android sijui window or door phone mmh endeleeni nazo!
 
Stori za watoto bana duh!!!

Nimesoma tu ili kujua uelekeo wa biashara, sie tutaendelea kuuza iOS tu kwa kuzingatia value/thamani yake halisi na kwa bei reasonable kwa mteja hata ukiinunua milion moja bado utakuwa hujutii pesa yako...
 
sijui utoto umetokea wapi miswahili bana..
 
Stori za watoto bana duh!!!

Nimesoma tu ili kujua uelekeo wa biashara, sie tutaendelea kuuza iOS tu kwa kuzingatia value/thamani yake halisi na kwa bei reasonable kwa mteja hata ukiinunua milion moja bado utakuwa hujutii pesa yako...

Mkuu 'utoto' ni kutotumia iOs ama nn?
 
Back
Top Bottom