Hapa natumia Lumia 1520 window 10 preview sio mchezo na wiki ijayo tutapata update nyengine amabayo itakuwa ina uwezo wa kutumia wireless keyboard na mouse. Na utakuwa na uwezo wa kutumia office Kama una laptop. Duh hawa jamaa ni nouma
Mkuu hapa nina lumia 820, nimedownload miziki nifanyeje ili miziki niione kwenye memory card sasa hivi siioni kwenye memory?