Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,487
Have you guys tried HTC ONE M7? ANDROID NI KILA KITU, 32GB INTERNAL MEMORY, 2 GB RAM, WIRELESS HAUHITAJI MODERM UNASHARE NA LAPTOP NET
Vyote ulivyovitaja vipo WP hadio hio simu
Have you guys tried HTC ONE M7? ANDROID NI KILA KITU, 32GB INTERNAL MEMORY, 2 GB RAM, WIRELESS HAUHITAJI MODERM UNASHARE NA LAPTOP NET
Nina nokia lumia 930 sasa nataka kubadili mpangilio wa apps zang katika homescreen nifanyeje
Bonyeza tile moja kwa nguvu then drag mahala unapotaka,
Unaweza kuiresize kuifanya kubwa au ndogo.
Nenda setting then start and theme ukachague rangi, wingi WA tiles na background pic
Windows phone ya mwaka huu una tetesi nayo?
Zipo nyingi kaka unazungumzia ipi au ya range IPi ya price
Nikimaanisha flagship ya mwaka huu ya windows phone
flagship kuna rumors za lumia 940 na lumia 940xl ila nothing special just imagine specs za lg g4 au htc m9 then ongeza iris scanner then basi
Naomba kuuliza, JF app imeshaanza patikana kwa WP?
Sawa mkuu...
Naona kama hawa jamaa hawapo serious kwenye kutengeneza flagship ya maana
wakati lumia 920 inatoka ilikuwa na mambo zaidi ya 10 ambayo yalikuwa hayapatikani simu yoyote, ndio maana watu waliinunua sana ndio flagship pekee ya wp yenye mafanikio. hata 1520 haikuwa mbaya sana ilikuwa na vitu vyake unique.
ila sasa hivi microsoft anachojali yeye ni kuweka specification kubwa tu, mwisho wa siku simu inakuwa kama ya android tu bila kitu cha kuvutia.
lets hope hizo simu zina vitu vizuri zaidi ya hivyo vilivyoleak
nenda store download tapatalk then ifungue halafu search jamiiforums, then tumia hio app ni kama ya jf tu
Mimi ni mpenzi wa Nokia sana..
Nimekuwa natumia bidhaa zao toka walivyokuwa Symbian...
Simu yangu ya mwisho kutumia ilikuwa Lumia 620...
Nimehama hii platform kwasababu sipati kile ninachotaka...
Nadhani Nokia wakivunja mkataba na MSFT wataleta kitu roho inapenda...
hebu nitajieni simu za window phone nyingine mie najua za lumia tu
ziko poa sana naamini hata mm nina kalumia 620 nakapena sana ila hakawezi kutuma audio files kwa wassp vngnevyo ziko poa saanna kinoma noma
lumia 620 ni best low end ever made, ina premium features nyingi sana.
kutuma audio whatsapp utahitajika uirename hio audio kama .mp4
nenda store download files halafu fungua ingia kwenye folder ilipo audio yako then irename iwe mp4 (audio.mp4 unachange format) then share hio audio na whatsapp
mkuu na audio ambazo unatumiwa whatsapp zinakaa sehem gan
maana hilo ndo tatizo sugu kwang