RoseOfGuadalupe
Member
- Sep 23, 2016
- 62
- 30
Huu ni uzi safi sana.
Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.
Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.
Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa
Pole sana, Je huwezi wewe kwenda kuabudu anakoabudu mkeo? if No ambatana na mkeo msali pamoja. Mwanamke kufwata dini ya mme ni mtazamo tuu uliozoeleka. if Yes, endelea kumuomba Mungu ambadirishe.
au na wewe unataka muanze kunena kwa lugha
i hop ni kizuri ndo mana umefurahi.