Faida za wenza kuomba pamoja

Faida za wenza kuomba pamoja

Divorce rate ya Marekani kwa sasa inachezea 52% na hii haijalishi kama couples ni Wakristo ama la. Kama couples wanasali pamoja divorce rate inashuka na kuwa 1%. One percent! From 52 percent! Na hapo ndiyo utaona umuhimu wa kusali pamoja na kumhimidi Bwana.
 
Huu ni uzi safi sana.

Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.

Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.

Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa
mkuu usiumize kichwa sana. ili kuondoa kikwazo hicho, taratibu anza kujenga mazoea ya kusali pamoja asubuhi na jioni. nakuhakikishia kama mtafanya hivyo toka mioyoni na kila mmoja akishiriki kwa imani utaona mabadiliko. muhimu: kua agent mkuu wa mabadiliko kama kichwa cha familia. Mungu akuongoze.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom