Faida za wenza kuomba pamoja

Faida za wenza kuomba pamoja

1480904667763.jpg
 
1480905214327.jpg

Kama pia mna mtoto mnaweza pia mkamshirikisha kama sio kuomba basi hata kwa kusoma Biblia ama Quran pamoja !

Wapenz ama wanandoa wanaoomba pamoja kwanza mnamkaribisha Mungu katika mahusiano yenu,na zaidi mnajitenga na adui anayetaka kuwatenganisha...
 
Huu ni uzi safi sana.

Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.

Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.

Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa
Ulitakiwa uone hil mapema kabla ya ndoa.anyway mkabidhi kwa bwana huyu mkeo atanyooka tu.na usumbufu ataacha.mke lazima amfuate mume wake atatimiza VIP ndoto zako au maono..ila issue za imani,dini zinasumbua sana
 
Kunaongeza furaha, amani, umoja na mshikamano kwa wanandoa.
Pia kunamfukuza shetani asisogelee ndoa yenu maana mnakuwa ulinzi na baraka toka kwa MUNGU.
 
Mkimaliza tu kuomba/kusali, mnaenda kuvaa night dress/nguo za kulalia na kuanza mchakato wa kubanduana.

In that scenario, even the pu!!y tastes awesome
yes sababu mnakua mmetengeneza bond ya ajab sana..malumbano yanapungua sana kama si kuisha na mnakua na moyo wa kusameehe zaidi, kuondoa pride na kujishusha .so automatically hata kwenye love making mnainjoi hamna mfano
 
waoooohh!
ngoja...
Usiache kufanya hivo

Mkimaliza tu kuomba/kusali, mnaenda kuvaa night dress/nguo za kulalia na kuanza mchakato wa kubanduana.

In that scenario, even the pu!!y tastes awesome
 
Huu ni uzi safi sana.

Unfortunately, me and my wife worship in different denominations. Nimejaribu kwenda kanisani kwake 5-6 times, but hakuwahi kuja kanisani kwangu. Ndoa yetu ina 5 yrs nw ila yeye amewahi kusali kanisani kwangu MARA MOJA TU....!!! Tena baada ya jana yake kugombana sana khs kutokusali pamoja. It hurts me, a lot, na nimeamua kuliacha hilo suala kma lilivyo cz nikikumbuka tulivyogombana wkt wa kulazimishana kwenda kanisan siku ile, ni bora nikaacha.

Ndoa yetu ina mtoto mmoja na mama yke amejitahidi kufanikisha awe anasali nae. Sikuona kma big deal cz I dont think kma iko poa kuanza kugombania mtoto aabudu kanisa gani.

Kuna umuhimu sana kuabudu pamoja before marriage ili kuondoa mambo kma haya. Yanatesa

Kabla ya kufunga ndoa mlikubalianaje? Au hamkuona kama ni issue yenye impact positive or negative katika maisha yenu?
 
Kosa lake wanaita "technical error" teh! Kama ni mtu wa dini na kanisani sana ataumia moyo hadi aombe poo.

Ni raha sana kwenda church na mwenza wako, inawaweka karibu sana kiroho.
 
Kweli kabisa.... Inapendeza sana familia nzima wanapomwabudu Mungu katika kanisa moja.
 
Kosa lake wanaita "technical error" teh! Kama ni mtu wa dini na kanisani sana ataumia moyo hadi aombe poo.

Ni raha sana kwenda church na mwenza wako, inawaweka karibu sana kiroho.
Sio kwenda tu mkuu hata mtakapotumia muda hata wa dakika 5 kusali pamoja mkiwa chumbani ama sehem tulivu mkiwa peke yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom