moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
- Thread starter
- #61
WE DINI GANI MKUU..?uzinzi na pombe ni ushetan mtupu
WE DINI GANI MKUU..?uzinzi na pombe ni ushetan mtupu
Aibu ain't my thing. WTF naishi maisha yangu aibu ya nini.Hasara - [emoji117]kisukari
[emoji117]magonjwa ya moyo
[emoji117]kukosa hamu ya kula
[emoji117]hamu ya tendo inapungua/upungufu wa nguvu za kiume
[emoji117]kukosa appetite
[emoji117]mwili kutetemeka
[emoji117]aibu mtaani
Uskae karibu na mimi kama nimelewa ukijijua wewe ni jinsia pinzani. Iyo hasara ya tendo kwangu ondoa. Nikilewa ninakuwa vizuri zaidi.Hasara - [emoji117]kisukari
[emoji117]magonjwa ya moyo
[emoji117]kukosa hamu ya kula
[emoji117]hamu ya tendo inapungua/upungufu wa nguvu za kiume
[emoji117]kukosa appetite
[emoji117]mwili kutetemeka
[emoji117]aibu mtaani
Kukosa appetite na hamu ya kula ni nini? Sijakuelewa.Hasara - [emoji117]kisukari
[emoji117]magonjwa ya moyo
[emoji117]kukosa hamu ya kula
[emoji117]hamu ya tendo inapungua/upungufu wa nguvu za kiume
[emoji117]kukosa appetite
[emoji117]mwili kutetemeka
[emoji117]aibu mtaani
sina diniWE DINI GANI MKUU..?
Imani yako usichanganye na yangu...sina dini
Ananipa mawazo mazuriHana future na wewe ,
POA MKUU7 kibokoooo
mkuu
unajua maana ya mapenzi.?