moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
- Thread starter
- #41
taja positive exceptionHahaha izo Ni negatv exception
taja positive exceptionHahaha izo Ni negatv exception
Nani kakwambia ana stres..? kwanza unajua maana ya mapenzi..?Mtoa mada inaoanekana ni jinsi gani una stress... Kiukwel pombe hata siku moja haitaweza kuikava nafas ya mapenzi.... sana sana ndo itakupelekea kufanya vitu vya ajabu ...watu wakisha lewa ndo huishia kulala na Malaya bila hata kinga...... Pombe ni moja ya kiburudisho tuu ....na ukinywa pombe et kisa una stress naona ...ndo unajiongezea matatizo
Faida namba 11 umeisoma vizuri.?Mtoa mada inaoanekana ni jinsi gani una stress... Kiukwel pombe hata siku moja haitaweza kuikava nafas ya mapenzi.... sana sana ndo itakupelekea kufanya vitu vya ajabu ...watu wakisha lewa ndo huishia kulala na Malaya bila hata kinga...... Pombe ni moja ya kiburudisho tuu ....na ukinywa pombe et kisa una stress naona ...ndo unajiongezea matatizo
taja positive exception[/QUOTE
Ukikumbuka kuwa Ata we upo Leo sababu ya mwanamke basi uwez tena mfananisha mwanamke na vtu vya kijinga.
Tuwaponde sawa lakn sio kuwadhihaki kiasi icho japo.Kalibu castle laga mkuu
naona unapga castle lager, mi niko napata kinywaji cha Russia kinaitwa KanevodyaMi kwen
Faida za mpenzi pombe
1.Hana wivu hata kama nimeweka nne mezani
2.Nampata muda wowote nnaotaka
3.Hana safari safari za shopping
4.Naweza tukashare na rafiki yangu na moyo ukatulia
5.Nikiwa sina pesa hachukii
6.Ni mpenzi anae niongezea kujiamini nikiwa nae
7.Kila nikimkuta anakua ni BIKRA
8.Hapigi mizinga pesa hadi nimpe mimi
9.Hajawahi chepuka labda mimi nimruhusu
10.Hawezi kutoka nje hadi mimi niwepo ndio anatoka
11.Unaweza ukawa unapiga kimoja au viwili tu bila kukulalamikia kuwa hajafika kileleni.. yani unampiga kwa wastani
Bwana Yesu asifiweSio kwa u ulokole wangu
kwanini mkuu..?Mental illness hii sio bure
Kwani kuna mtu amekushauri nawe uwe mtumiaji..?Tuliza povu hiloHayo ni mawazo uchwara
ndo hvyo mkuuHahaaa
Asante kwa mchango wakoNawasikitikia sana ambao hawanywi pombe wakijidanganya pombe n dhambi.
Pole yao
hujaeleweka,fafanua vizuri mkuu..?ivo vyote ushetan
uzinzi na pombe ni ushetan mtupuhujaeleweka,fafanua vizuri mkuu..?