Faida za mpenzi pombe kuliko mpenzi mwanamke

Faida za mpenzi pombe kuliko mpenzi mwanamke

Hasara - [emoji117]kisukari
[emoji117]magonjwa ya moyo
[emoji117]kukosa hamu ya kula
[emoji117]hamu ya tendo inapungua/upungufu wa nguvu za kiume
[emoji117]kukosa appetite
[emoji117]mwili kutetemeka
[emoji117]aibu mtaani
Mwisho wake ni kifo cha aibu
 
Hasara - [emoji117]kisukari
[emoji117]magonjwa ya moyo
[emoji117]kukosa hamu ya kula
[emoji117]hamu ya tendo inapungua/upungufu wa nguvu za kiume
[emoji117]kukosa appetite
[emoji117]mwili kutetemeka
[emoji117]aibu mtaani
1.Kisukari ata ukila ugali tu, unaweza kupata kisukari

2.Hata wanawake wanaweza kukuletea magonjwa kama gono, kaswende na ngwengwe.

3.Ukipigwa kibuti kama sii mzoefu, hutopata hamu ya kula.

4.Ladha ya gambe inaweza kufidia ya tendo.

5.Ukimfumania mkeo lazima utetemeke.

6.Hakuna aibu kubwa kama kubambikiwa mtoto wa mtu umlee huku mtaa ukijua Baba halisi ni nani.
 
Dear gambeee..umefanya maisha yang yayumbe,mi n mpambe Leo ninakuletea ujumbe
Umefanya ndoa nyng znavunjika,hasi chanya we na msos nkichanganya natapika
 
Hizi nyingine ni distractions za wasiotutakia mema, kitusahaulisha thrill ya Bombardier zetu. If you don't love us in Bombardier, don't love us later in our Dreamliner either.
 
Dear gambeee..umefanya maisha yang yayumbe,mi n mpambe Leo ninakuletea ujumbe
Umefanya ndoa nyng znavunjika,hasi chanya we na msos nkichanganya natapika
Kitu chochote ukizidisha kina madhara ila kwa mwanamke kuna exception kwamba ata usipozidisha ana madhara
 
Piga maji ya dhahabu. Castle lager baridiiii[emoji481] [emoji481] [emoji481]
 
Pombe naye ni mpenzi? Sasa pombe itakupa mapenzi gani? Sana sana unaweza kuitumia ili uenjoy na mpenzi...yenyewe haiwezi kuwa mpenzi. Mpenzi ni mwanamke aliumbwa spesho kwa mapenzi....he he heee hivyo vingine sijui pombe, mara sabuni, mara kitanda haviwezi kuwa wapenzi.
 
mkuu
unajua maana ya mapenzi.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom