Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Dah jmn kumbe kwenda kanisani raha sana*
*Jana nimeenda church pasta akasema mgeukie jirani yako mwambie deni langu limelipwa na Yesu*
*ile nageuka tu nakutana na baba mwenye nyumba bas nikaongeza sauti ili asikie vizuri*
*Ghafla nikamuona katoka nje sijui kaenda kuniandikia risiti*