Kweli kizazi cha leo ni hovyo sana,,mm siungi mkono hoja,yawezekana mtoa mada ni mtoto aliyepatikana nyumba za wageni,,kama sivyo je baba yako hakuoa?na kama alioa kwa nini wewe usioe?nashauri usipotoshe wenzio maana kuoa kuna faida nyingi kuliko hasara,
Sent using
Jamii Forums mobile app