Faida za kuto-kuoa

Inaepusha kufanywa Kikokoto na wakwe zako.

Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
We unaonekana ni mbinafsi alafu nafsi yako ya kiume itakua aijakamilika vizur una vina saba vya kike mwanaume kamili asili ni kumiliki yani uwe na gari unamiliki uwe na nyumba pesa kwel we una kasoro ushindwe kumiliki mwanamke mana hela kichocheo ila maneno matamu na mahaba kitandan ata mwanamke awe anapiga kelele vp kwa ukali akisikia sauti la mtuanae mtafuna vizur basi utulia na kua mpole kama we unatabia za kike utaona yule mwenzio utakua unafukuza kila siku ata kama unawapanga basi ni kutaka kuonyesha we ni kamili ila mashine yako ainatofauti na kidole tu basi mwanaume kaza jitambue ata kama utakula nje ila ukimili ndani na kuweza kumtuliza we ndo kidume na sio kubadili tutajuaje labda we usimamishi vizur kwaiyo unawalamba kwa ulimi ndo mana wanasepa na utaki ukae nao kwa muda mrefu jitafakari mwanaume kamili ni kumiliki mke ndani

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Unamfahamu Diamond? Unaona anavyo watafuna na kuwatema? Pamoja na hela zske nyingi hataki kuweka kambi na mke..
 
Unamfahamu Diamond? Unaona anavyo watafuna na kuwatema? Pamoja na hela zske nyingi hataki kuweka kambi na mke..

Ngoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwahiyo unaoa ili ukija kupata majanga mke akusaidie? Ni wangapi wamekimbiwa na wake zao baada ya kushuka kiuchumi tu, achilia mbali kuugua ama kupata ulemavu?

Ndugu yangu, imeandikwa "amelaaniwa MTU yule amtegemeae mwanadamu". Mke anakupenda ukiwa bado hujapata changamoto ya kiuchumi na kiafya. Kqma unabisha jifanye kama unajikuna.
 
Ngoja apate majanga uje useme tena ivo ivo kwaiyo akila unga na we utamuiga naona we unakua under 20s ndo mana

Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha kufikiri ukipata tatizo utakuwa salama eti kwakuwa mkeo atakusaidia, wanakimbiaga hao brother,, unatakiwa uamini kuwa hata ukifa leo huyo mkeo hatachukua muda ataolewa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge la jibu hili mkuu. Kuna watu wanaoa wakidhani mke atakuwa msaada wakati wa matatizo. Kumbe hawa viumbe huwa wa kwanza kutelekeza waume wao
 
hawa hawatakiwi kuoa!

Mathayo 19:12 Maana wako matowashi waliozaliwa hali hiyo toka matumboni mwa mama zao; tena wako matowashi waliofanywa na watu kuwa matowashi; tena wako matowashi waliojifanya kuwa matowashi kwa ajili ya ufalme wa mbinguni. Awezaye kulipokea neno hili, na alipokee.
 
Seriously?
 
Duuh! Mkuu umeniongezea sabb za kutokuoa kabisa.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…