Swadakta mkuu, hasa hiyo namba 4/1.utaepuka kuumizwa
2.utaepuka kuletewa ukimwi
3.nyodo utazisikia tu kwa jirani.hutofanyiwa dharau na demu
4.hutotoa pesa za saloon na shopping
5.utalala alone li kitanda likubwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu ziorodheshe hata 3Hasara ni nyingi kuliko faida
Hapana, kama natafuna k mpya kila wiki haitakaa itokeeutaliwa tigo na jini mahaba.
Hahaha! Hii mkuu siyo faidaUmesahau moja muhimu kuliko yote, utaepuka kuwa na mtoto.
1.kupoteza dira ya maishaHebu ziorodheshe hata 3
Hahaha! Mkuu, mapdre wapo wenye 35 lkn wanaheshimika kama wakubwa wenye busara1.kupoteza dira ya maisha
2.kuchelewa kupata watoto
3.kuchelewa kujipanga kiuchumi n.k
4.kujiona mtoto (kubwa jinga,48+ hujaoa) n.k
Tusiwaongelee wao,wanaweza kuwa na njia zao za kupunguza hizo protein,bila kufanya hivyo akili lazima zifyatuke.Unakuta mtu mzima anaongea mambo ya kitoto.Hahaha! Mkuu, mapdre wapo wenye 35 lkn wanaheshimika kama wakubwa wenye busara