Faida za kuona wasichana miaka 20 hadi 25

Halafu kuna nyingine nimeipata kuwa KAMA MWANAMKE HAJAWAHI KUZAA BELOW 30 BASI HUWA WANAPATA SHIDA KWENYE UZAZI/KUJIFUNGUA WAKIWA 30+
 
Inawezekana ..
Halafu kuna nyingine nimeipata kuwa KAMA MWANAMKE HAJAWAHI KUZAA BELOW 30 BASI HUWA WANAPATA SHIDA KWENYE UZAZI/KUJIFUNGUA WAKIWA 30+
 
Mwanamke anaejielewea anataka nini maishani na unaweza kupanga nae maisha anaanzia 25 na zaidi. Wanaowahi kupevuka ni kuanzia 23 hapo!

Hao wa 18-23 labda kama unahitaji drama za kutukanwa na kususiwa kwa vitu vya kijinga. Na usaliti ndio balaa
 
Haijalishi una umri gani lakini muda mwafaka wa msichana kuolewa ni kati ya miaka 20 hadi 25

Achana na dhana potofu za kimapenzi eti sijui hawajui nini?

Faida zake ni kama zifuatazo

1. Ndio umri ambao msichana anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri

2. Ndio umri ambao msichana anafundishika na anaweza jengeka kimaono zaidi.

3. Ndio umri ambao msichana ana kua bado mtii na msikivu!!

4. Ndio umri ambao msichana anafurahia mahusiano..

5. Ndio umri ambao msichana anaona upweke kuwaacha wazazi hivyo kumpata mume inakua faraja kwake na mume anapewa nafasi ya kwanza.

Wasichana above 30 ni wazuri wanakua wameruka mishale mingi lakini huwezi kuwanyosha.

Hivyo wale 38+ wasiogope kuchukua hawa 20 to 25.
Naunga mkono.
 
mimi nina 32 nataka nichukue wa 16
 
Back
Top Bottom