Wazuri kwa lipi..
Unhezaliwa wakati yupo 20 ungekua kama newton
Huu umri hata ukifanikiwa kumpata binti na ukamtomasa ( nyonyo) ana feel hisia kuliko wale walikwepa viunzi vingi
Itakua viuno 🏃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Onyooshe kwani tumepinda nini?
Ndugu yangu sijui huu utafiti wako umeufanya wapi..... jaribu pia kutembelea mitandao ya Badoo....wechat...BBM...Exotic tz n.k halafu angalia umri wao hakika kigezo 3 sijui kama watafiti.Haijalishi una umri gani lakini muda mwafaka wa msichana kuolewa ni kati ya miaka 20 hadi 25
Achana na dhana potofu za kimapenzi eti sijui hawajui nini?
Faida zake ni kama zifuatazo
1. Ndio umri ambao msichana anaweza kuzaa watoto wenye afya nzuri
2. Ndio umri ambao msichana anafundishika na anaweza jengeka kimaono zaidi.
3. Ndio umri ambao msichana ana kua bado mtii na msikivu!!
4. Ndio umri ambao msichana anafurahia mahusiano..
5. Ndio umri ambao msichana anaona upweke kuwaacha wazazi hivyo kumpata mume inakua faraja kwake na mume anapewa nafasi ya kwanza.
Wasichana above 30 ni wazuri wanakua wameruka mishale mingi lakini huwezi kuwanyosha.
Hivyo wale 38+ wasiogope kuchukua hawa 20 to 25.
Hao wa kwenye mitandao sio kabisa. Ukiona msichana yupo mtandaoni kwa lengo la kuolewa jua amedoda.Ndugu yangu sijui huu utafiti wako umeufanya wapi..... jaribu pia kutembelea mitandao ya Badoo....wechat...BBM...Exotic tz n.k halafu angalia umri wao hakika kigezo 3 sijui kama watafiti.
Ha ha ha......ndo siku hizi wamejaa huko.Hao wa kwenye mitandao sio kabisa. Ukiona msichana yupo mtandaoni kwa lengo la kuolewa jua amedoda.