Faida za kuoa mke "kicheche"

Faida za kuoa mke "kicheche"

Tuheshimiane Faza.
FB_IMG_17496635270154486.jpg
 
Utangulizi.
Hakunaga mwanamke kicheche ambaye siyo mzuri wa umbo, sura na rangi. Ni sifa hizo tatu ndiyo humpa nafasi na fursa ya kuwa kicheche, kwa kuwa anatakwa na kila mwanaume.

Faida za mke kicheche.
1. Anakupa tulizo la moyo hata kwa kumuangalia tu umbo lake na sura yake. Muda wote unatamani uwe nyumbani ama urudi nyumbani mapema ukamtazame.
2. Anakupa burudani 100% ukiwa naye kwenye 6 kwa 6.
3. Anakuongezea kujiamini na kujiona wewe ndiye kidume hasa kwa kumiliki pisi Kali kiasi hicho. Hata kama hakupi unyumba, majirani wanakuona wewe ni kidume kweli kweli.


N.B. Wife materials ni kinyume chake.
Labda awe mwanamke wa ngono tu, hizo sifa haziwezi kukufanya ukawa na mke bora ndani ya nyumba yako
 
Lengo la ndoa ni kukufanya uwe "at home" lkn walio na wife material wako kwenye "house" tu.
Lengo la ndoa ni Kujenga mazingira rafiki watoto kukua, haijalishi mkeo ni GOGO chumbani ila ajenda ni watoto
 
Labda awe mwanamke wa ngono tu, hizo sifa haziwezi kukufanya ukawa na mke bora ndani ya nyumba yako
Labda mkuu utusadie vigezo vya mke bora. Halafu tuanzie hapo
 
Imani yako inakuambia nini, jibu linaanzia hapo
Mtoto ng'aring'ari (rangi ya mtume)
Mtoto mashalaa (ana nyashi).
Mtoto shepu ya nguva.

Ndiyo maana moja ya vivutio ktk Quran tukufu ni kwamba wanaume tukienda peponi tutapewa wake 70 kila mmoja waziri kweli kweli.
 
Mtoto ng'aring'ari (rangi ya mtume)
Mtoto mashalaa (ana nyashi).
Mtoto shepu ya nguva.

Ndiyo maana moja ya vivutio ktk Quran tukufu ni kwamba wanaume tukienda peponi tutapewa wake 70 kila mmoja waziri kweli kweli.
Imani yako inakuchanganya, lazima uchanganikiwe sana... Mambo ya kuoa na kuolewa tutayaacha hapa hapa Duniani
 
Rangi nzuri ni ya mtume, zilizobakia zote mbaya. Ndiyo maana hakunaga mwanamke anatumia mkorogo ili awe mweusi.
Mi natafuta Ke weusi kama madini ya rubies, sijawahi na sitawahi kuweweseka na Ke weupe tangu utotoni .

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
unautani na demu kicheche ety ?
nyumbani ukirudi unamkutaje kwa mfano 😂😁
 
Dah yani hamjulikani mnahitaji nini
#fear men💔
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom