Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo

Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo

Hahahaaaa! Hilo joto linakotafutwa sasa balaa tupu, ile kitu ilitakiwa iwe na mabega aisee!
Hahaha me napenda mno kukumbatiwa bila continuation lakini hehhehe lol. Hata kwenye normal life, watu wangu wa karibu washazoea big hugs zangu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Na inanoga sana kipindi hiki cha baridi baridi
 
Wallahi Kukumbatiwa rahaaaa tena ukizowea ndio inakua maradhi hasa,ukilala peke yako wakati umeshazowea kukumbatiwa
usingizi unakua nusu nusu hata mito haisaidii,siku za baridi ndio oooooh..
 
Au vipi kulala upande mmoja hadi unachoka
ni hivi kwamfano mie atanikumbatia yeye atakua ana face mgongo wangu,akigeuka mie nta m face yeye mgongoni
au mie naweza kulala kwenye kifua chake au nikaweka kichwa changu kwenye bega lake,na mguu wangu mmoja unakua katikati ya miguu yake...
 
Hahaha me napenda mno kukumbatiwa bila continuation lakini hehhehe lol. Hata kwenye normal life, watu wangu wa karibu washazoea big hugs zangu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Huko nje sawa hazitokuwa na continuation, ila zile za ndani ya blanketi! thubutuuuu!
 
ni hivi kwamfano mie atanikumbatia yeye atakua ana face mgongo wangu,akigeuka mie nta m face yeye mgongoni
au mie naweza kulala kwenye kifua chake au nikaweka kichwa changu kwenye bega lake,na mguu wangu mmoja unakua katikati ya miguu yake...
Uuuh hapo sasa kuna vitu unapandisha mwilini humu daaaah ok endelea kuleta shule
 
Nitajitahidi kufanyia kazi somo lako kwa vitendo..
 
Back
Top Bottom