Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo

Faida za kumkumbatia mumeo/mkeo

Mim nina ujauzito but mume wangu anajifunika shuka lake na mimi shuka langu sas hilo kumbato sijui linapatikan vp
 
Mim nina ujauzito but mume wangu anajifunika shuka lake na mimi shuka langu sas hilo kumbato sijui linapatikan vp
Kwanini unaweka mashuka mawili kitandani? Weka moja tena dogo ambalo mtabanana ili mjifunike wote teh
 
Ha ha haaaa,
Mara unaambiwa , naweka hapa jujuu tu nipate ujoto.
Lkn ndo hivo haina mabega mara ishazamishwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haha hahaha daah nimecheka. Eti naweka tu juu juu[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hahahaaaa! Unashangaa tu unaguswa na kitu kigumu unajua tu pashaharibika hapa, bora ujilale hukoo.
 
Wa kwangu hapendi kukumbatiwa, wanawake buana!![emoji15][emoji15]. Tuishi nao kwa akili
 
Back
Top Bottom