Faida za kulala uchi

Basi mie Ni bingwa wa kulala uchi Kama natoka kuzaliwa....
 
kapicha kako au? maana hiyo comment nilikuwa nimeku-quote wewe sijui imekuwaje ikaja peke yake
Sio kangu
mi sipigi picha siku hizi, najiangalia kwenye kioo tu basi inatosha
 
Kwa kweli hata mimi huwa napenda kulala uchi kabisaa, hata chupi ni mwiko. Jamani mwili nao unahitaji hewa. Kutwa kucha umeufunika na nguo na chupi hata usiku? Nahisi hata kiafya huruhusiwi kulala na nguo inayokubana. Ni kosa kubwa.
Hata kifuniko cha asali huweki?
 
Watu wanatembea uchi barabarani sembuse kulala uchi?
 

Hahah nimecheka sana mkuu., mi nadhan kulala uchi ni sawa laki sikila mtu afanye ivy wengine tunalala kwenye maeneo si mazuri sn kutokana na umaskin, mdudu kama tandu akija akikugonga kwenye cheche lazima utaipata pata? au kina dada wakigongwa kwenye ile kitu itakuwa hati zaidi anaweza kukimbia nje waziwazi
 
Nimesikia ukilala uchi unaingiliwa kimwili unampa nafasi shetan ya kukutaman na kufanya mapenzi nawe kuna post niliwah kuisoma humu humu JF
 
Siku ukivamiwa ndo utaona umuhimu wa kulala walau na bukta
Hapana. Ukweli ni kwamba wavamizi wakikukuta uchi HAWAKUGUSI KABISA, unachotakiwa ni kuvumilia aibu tu. Kumbuka wavamizi wengi sio wabakaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…