Faida za kulala uchi wa mnyama

Kaka unaweza hisi ni mambo ya kusadikika ila ni mambo live!
 
Mkuu upo sawa,, yaan huu uzi umenigusa mimi mzee wa naked yaani nimeusoma nimelaaa na nipo uchi wa mnyama.
Kila asibuhi nikiamka huwa najikuta ni mtu mwenye furaha na kujiamini sababu ya kulala uchi.

Wakuu anzeni kulala uchi mpate faida hizi .
🤣🤣🤣my ribs mkuu unaikazia kabisaa.
 
Hiyo hatari sana kiongozi
 
We viache vipate upepo mkuu
 
Mkuu samahani ina maana huyu muombeaje alikuambia sababu ya chemistry kuharibika ni kulala uchi?
 
Mkuu upo sawa,, yaan huu uzi umenigusa mimi mzee wa naked yaani nimeusoma nimelaaa na nipo uchi wa mnyama.
Kila asibuhi nikiamka huwa najikuta ni mtu mwenye furaha na kujiamini sababu ya kulala uchi.

Wakuu anzeni kulala uchi mpate faida hizi .
😂😂😂 Mkuu lala uchi mwenyewe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…