Mgonjwa wa kisukari anaruhusiwa kula ndizi zilizopikwa georgeallenje MziziMkavu mtu mwenye kisukari anaruhusiwa kula ndizi mbivu au zilizopikwa?
Na hizi ni dawa ya maradhi ya moyo na maradhi mengine lakini watu wengi hawajuwi hilo mkuu asante kwa kunipa feedbackMkuu mzizi wala hukosei. Ninao usuhuda mzuri mama mmoja alikuwa akiumwa moyo ulikuwa umetanuka.Akajiwekea dozi.Asubuhi ndizi mbivu 3 mchana 3 usiku 3 anapokwenda kulala 2 ndani ya mwezi huu mmoja akaenda kupimwa tena akaambiwa moyo upo katika hali yake ya njema.