Faida za kuishi bila michepuko

Faida za kuishi bila michepuko

Jitu la kienyeji

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2014
Posts
4,446
Reaction score
7,989
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako.

Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata.

Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· Mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako
 
Mchepuko ananyonya dushe wife anaona kinyaa.

Mchepuka k inabana vizuri kuliko wife.

Wife hakunyanyasi na ana anajya unapo pa kufidia.

Wife anaongeza ushindani na kuboresha huduma iki usihamie kwa mchepuko jumla.

Wanaopenda Tigo, wife hatoi mchepuko anatoa.

Hasara ni kuambukizwa vvu na kupunwa pesa, michepuko hawana huruma na wewe wapo kazini.
 
Upo sahihi, lakini pia sio tu kupunguza Kinga ya mwili unaweza ukaambukizwa nuksi pia maana michepuko wengine Wana nuksii....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo Kwenye Nuksi Mkuu...[emoji736][emoji736]
Sababu Mnakutana Sio tuu Kimwili lakini Kiroho.
Sisi Wanaume Tamaa Hazituishi Hata mimi mwenyewe natamani Mkuu!
 
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako


Sent using Jamii Forums mobile app
Ssfi sana wengi hawajui hili pia utakuwa na.maisha marefu
 
Hapo Kwenye Nuksi Mkuu...[emoji736][emoji736]
Sababu Mnakutana Sio tuu Kimwili lakini Kiroho.
Sisi Wanaume Tamaa Hazituishi Hata mimi mwenyewe natamani Mkuu!
Hizi nuksi hua zinatupata sisi maskini tu.. ina maana mo dewji alipotekwa ilikua ni nuksi ya kutembea na mwanamke au? Mbona yeye hapati nuksi au hatafuni mbususu?😁
 
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako


Sent using Jamii Forums mobile app
Hio point ya 6 hapo ndio inapelekea hao michepuko!

Kama inatimizwa kwa ukamilifu asilimia 80% ya wanaume wangekuwa hawachepuki.
 
Back
Top Bottom