Faida za kuishi bila michepuko

Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako. Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata. Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Faida za mchepuko:

-Unakirimiwa kama mfalme pindi unapoingia kwenye anga lake ni mwendo wa kubembelezwa tu kama mtoto.

-Unagonga mda wowote ukitaka huduma ni 24/7 na ushirikano ni 100% mchepuko anaonesha mahaba katika kiwango cha 4K!

-Anapenda uwe na amani ya moyo muda wote unapokuwa nae hawezi kutumia lugha za kishenzi kama mke mwenye mazoea ya kijinga.

-Anakusaidia kutolilia tunda kila siku kwa mke pale nyumbani na kukuepusha na fedhea za kupangiwa ratiba ya kula mbususu mwisho unaonekana boya.

-Anasaidia kuepuka stress za mke sababu unakuwa huna time nae hata akiongea upuuzi matokeo yake mke anaongeza hali ya kukumiss zaidi na kuimarisha ndoa.

-Kama mchepuko una mawe unasaidia kwenye assist za hapa na pale ukikwama.

-Anaweza kwenye kukujenga kimawazo na kimichongo kama ni mtu mzima kidogo
 
Faida za mchepuko:

-Unakirimiwa kama mfalme pindi unapoingia kwenye anga lake ni mwendo wa kubembelezwa tu kama mtoto.

-Unagonga mda wowote ukitaka huduma ni 24/7 na ushirikano ni 100% mchepuko anaonesha mahaba katika kiwango cha 4K!

-Anapenda uwe na amani ya moyo muda wote unapokuwa nae hawezi kutumia lugha za kishenzi kama mke mwenye mazoea ya kijinga.

-Anakusaidia kutolilia tunda kila siku kwa mke pale nyumbani na kukuepusha na fedhea za kupangiwa ratiba ya kula mbususu mwisho unaonekana boya.

-Anasaidia kuepuka stress za mke sababu unakuwa huna time nae hata akiongea upuuzi matokeo yake mke anaongeza hali ya kukumiss zaidi na kuimarisha ndoa.

-Kama mchepuko una mawe unasaidia kwenye assist za hapa na pale ukikwama.
Legendary
 
Huwa nikitoka kuchepuka huwa napiga show ya kibabe sana hadi wife anakimbia. Maana nakua nalitafuta la 3 na mara nyingi huwa haliji hata nikeshee
Wife anakimbiaa???

Anakuzuga tuu wewe ndie unayeumia ila hujijui ila wewe unaona unamkomoa unajidanganya wewe stuka baki njia kuu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kila mchepuko ni mbaya na una nuksi hapana .....sema wewe mwenzetu michepuko yako unaiokota tu ndio maana hivyo.....ila ukija kukutana na mchepuko unao jielewa Nini unafanya aisee ujiona mfalme Sana haya maisha .

Tafuta michepuko inayo jielewa na sio kujizolea zolea tu ili mradi ni mtu Ana mbususu.
 
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako.

Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata.

Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· Mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
For the record, wanawake hawajali sana kuhusu wewe kuchepuka kwasababu hata usipochepuka ndio unamfanya awe suspicious na wewe na kukosa amani na ww.
.
Anyway kucheat sio poa.
 
Swali, Je mwenza wako HACHEPUKI?

Je ukija kujua kuwa alikuwa anachepuka muda wote huo uliokuwa nae na ww kujizuia kufanya hilo utajiskiaje?
 
Kama wewe ni mtu ambaye huchepuki, nakupongeza sana na hamna ambacho unakikosa kutoka kwa mwenza wako.

Watu wengi wanafikiri kuna amani au furaha ambayo wataipata wakichepuka, ukweli ni kwamba kila siku wanazidi kukimbizana na wanawake wapya na hawakipati wanachokipata.

Baki njia kuu, hata kama kuna foleni utafika unakoenda kwa amani na bila magonjwa.

Zifuatazo ndizo faida za kubaki njia kuu.

Utapata amani moyoni

· Utaepukana na magonjwa

· Utakuwa na Furaha isiyo elezeka

· Utajimini zaidi

Mke wako atakupenda zaidi (atajua umeacha kuchepuka hata usipomwambia)

· Utafurahia tendo la ndoa zaidi

(Michepuko haina chochote cha zaidi ambacho
· Mkeo au mumeo hana)Utasonga mbele kimaendeleo
· Utapata muda mwingi wa kuwa na familia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe sana mtumishi kwa mawaidha yako mazuri.
 
Muda wa kukaa na familia yangu ninao na maendeleo ninayo yakutosha na mchepuko ninao hapo unasemaje
 
Sio kila mchepuko ni mbaya na una nuksi hapana .....sema wewe mwenzetu michepuko yako unaiokota tu ndio maana hivyo.....ila ukija kukutana na mchepuko unao jielewa Nini unafanya aisee ujiona mfalme Sana haya maisha .

Tafuta michepuko inayo jielewa na sio kujizolea zolea tu ili mradi ni mtu Ana mbususu.
Mkuu ENDELEA na huyohuyo mchepuchepu ukijichanganya na michepuko yatakukuta yaliyomkuta kanga kukosa manyoya mkiani
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom